Acha unjinga mkuu ulitaka upewe bure?Ndio ni chanjo za kulazimisha.Hazina matokeo mazuri hadi sasa.Zingekuwa effective ilikuwa haina haja kuwaogopa wasio chanjwa.Hii ni biashara kama biashara zingine.Pia Acha kuishi kwa historia.Mtu akiwa mwema kwako jana haina maana atakuwa mwema kwako kesho.Hizo ni mbinu za mezane ili ujae kwenye nyavu sawa na kumpa kuku mahindi ili azidi kukusogelea akiamini unamjali na kumlisha,Atashtuka yuko juu ya mkaa akibanikwa[emoji23][emoji23]
acha mihemko.Kuna sehemu umeona nimeandika bure ?Unajua maana ya biashara?Soma kuelewa sio unakurupuka ili uandike chochote.Hivi shule huwa mnaenda kusomea ujinga??Acha unjinga mkuu ulitaka upewe bure?
Afu maligafi za kuzalishia alipie nan?
Mashine na za kuzalishia na fedha za kufadhilia uchunguzi na vifaa na watu usafilishaji hadi hapo kwenu?
Hama nchi ukachanjwe huko kwa wazungu.....tuache na nyungu zetu.unaziita ni chanjo za kulazimisha?Mbona Tanzania haikuzikataa chanjo za kulazimishwa za polio pamoja na ndui?Unaelewa kuwa kama siyo chanjo gonjwa la ndui lilikuwa na mpango wa kuingamiza dunia nzima?Uliwahi kusoma historia ya gonjwa la ndui?Ni punguani peke yake ndiye anaweza kuziponda chanjo!
Huu ndiyo ubunifu wa kiwango cha Nobel toka Jeshi letu. Safi sanaMiaka zaidi ya hamsini ya uhuru hii ndiyo hatua kubwa tuliyopiga kama Taifa katika nyanja za sayansi ya tiba pamoja na madawa ya kutibu binadamu!
Ni kweli Mkuu.....corona imegeuzwa biashara sasa. Huko kwa hao wanaoitwa wajuvi wa mambo ndo inawatafuna kwelikweli.Ndio ni chanjo za kulazimisha.Hazina matokeo mazuri hadi sasa.Zingekuwa effective ilikuwa haina haja kuwaogopa wasio chanjwa.Hii ni biashara kama biashara zingine.Pia Acha kuishi kwa historia.Mtu akiwa mwema kwako jana haina maana atakuwa mwema kwako kesho.Hizo ni mbinu za mezane ili ujae kwenye nyavu sawa na kumpa kuku mahindi ili azidi kukusogelea akiamini unamjali na kumlisha,Atashtuka yuko juu ya mkaa akibanikwa[emoji23][emoji23]
Unaweza ukaona idadi kubwa ya wanao piga kelele humu kuhusu corona kuwa tishio na kulazimisha nchi ikubali chanjo za wazungu kila siku wako mtaani hata bila barakoa!Ni kweli Mkuu.....corona imegeuzwa biashara sasa. Huko kwa hao wanaoitwa wajuvi wa mambo ndo inawatafuna kwelikweli.
Na hivi tujiulize nini mantiki ya kutanga idadi ya waambukizwa?
Ni kutengeneza hofu ili watu wajue dunia inaisha.
Tuwe makini. Na humu nahisi kuna watu wametumwa huku kujaza mada ya corona ili kutisha watu na kufanya watu waona Tanzania tunaisha.
Tuwe makini...haimaanishi tupo kisiwani....tuendelee kuchukuwa tahadhari huku tukipiga kazi.
Hizi picha huwa zinafungukaje mkuu maana mimi niki click hapo kwenye view attachment inanipeleka kwenye majukwaa mengine wala haifunguki.Miaka zaidi ya hamsini ya uhuru hii ndiyo hatua kubwa tuliyopiga kama Taifa katika nyanja za sayansi ya tiba pamoja na madawa ya kutibu binadamu!
Ni kweli.Unaweza ukaona idadi kubwa ya wanao piga kelele humu kuhusu corona kuwa tishio na kulazimisha nchi ikubali chanjo za wazungu kila siku wako mtaani hata bila barakoa!
Ingia JF kwa kutumia browser!Hizi picha huwa zinafungukaje mkuu maana mimi niki click hapo kwenye view attachment inanipeleka kwenye majukwaa mengine wala haifunguki.
Natumia samsung A70
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Kwahiyo nikiingia kupitia app haikubali?Ingia JF kwa kutumia browser!
Haikubali!
Tumia browser hii,ipo bomba sana.Ina kb 600 tu.Ipo kama app.Inapatikana playstore
Shukrani sana nimeipata play store.Tumia browser hii,ipo bomba sana.Ina kb 600 tu.Ipo kama app.Inapatikana playstoreView attachment 1699470