Video: Wakenya wanavyoruka bungee, hadi raha

Sammuel999

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
3,497
2,000
MK254 if this video is this fun watching how fun is the thrill.....kwanza hyo dem wa 3 ako shitless scared kuruka

My Idea of Fun was Sliding kwa Tunnels Mamba village coast this is on another level!!

Hapa ni wapi?
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
19,455
2,000
MK254 if this video is this fun watching how fun is the thrill.....kwanza hyo dem wa 3 ako shitless scared kuruka

My Idea of Fun was Sliding kwa Tunnels Mamba village coast this is on another level!!

Hapa ni wapi?
Yaani unapata adrenaline rush noma, crazy challenge.
Hapa ni Sagana
 
Edward Wanjala

JF-Expert Member
Nov 3, 2016
8,137
2,000
MK254 if this video is this fun watching how fun is the thrill.....kwanza hyo dem wa 3 ako shitless scared kuruka

My Idea of Fun was Sliding kwa Tunnels Mamba village coast this is on another level!!

Hapa ni wapi?
I think it is in some place in Taita! Lolani Kalu hadi a documentary on it some years back but i cant remembers well
 
game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
6,861
2,000
Aah, sipendagi michezo ya Kufakufa Mimi, sijawahi kuwa na Imani na Kamba yoyote duniani. (In dubulihasa's voice)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom