Video: Viongozi wa Tanzania tujifunze kupitia hili

Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
17,104
26,070
Nilipoangalia video hiyo nimeguswa sana, nikawaza siasa za Tanzania na tulipofika!

That's a Good damn reaction from the president hasa alipozuia watu wa usalama wasiende kumshughulikia "heckler" na badala yake akachukua muda kumjibu!

Mwisho wa yote the whole crowd ukapiga makofi kwa Rais kuonesha wameridhishwa na majibu yake nanma alivyorespond!

Angalia video hii utapata kitu!
Obama responds to hecklers at speech:

Tanzania itoke hii? Hapo umekwisha nyanyuliwa juu na kupigwa mateke kibao..

Anko Magu mwenyewe anaweza kuwapa amri maaskari na walinzi wake wakushughulikie papo hapo ili liwe funzo kwa wengine.

Kama watu wakimsema vibaya wakiwa mbali naye wanakamatwa seuze kum-heckle mbele ya hadhira?

Hakuna Mtanzania mwenye hiyo haki mbele ya Magu Chaguo La Mungu!
 
Kwa Magu??? Mwenye hii thread atahojiwa kwa kukiuka sheria ya mitandao. Teh teh !
 
Uraisi ni hekima na busara
Uraisi ni jinsi gani unaweza kuhandle na kusolve matatizo.
Obama kaonyesha hekima na busara na jinsi gani ya kusolve tatizo bila ya kumfunga mdomo ila kamuachia ajieleze na akamjibu vizuri bila tatizo lolote.Je viongozi wetu wataliweza hili? Kuzomewa na kutolewa maneno machafu?
 
Hahahaaaa hebu thubutu kum-heckle Anko Magu uone kama hujaenda kunyea debe!
Siwezi Fanya hivyo,ukiangalia vizuri aliyeheckle mwenyewe alibaki kama sisimizi!Aliridhika na majibu mpaka akajikuta na yeye anapiga makofi
 
Uraisi ni hekima na busara
Uraisi ni jinsi gani unaweza kuhandle na kusolve matatizo.
Obama kaonyesha hekima na busara na jinsi gani ya kusolve tatizo bila ya kumfunga mdomo ila kamuachia ajieleze na akamjibu vizuri bila tatizo lolote.Je viongozi wetu wataliweza hili? Kuzomewa na kutolewa maneno machafu?
Wamarekani wanajivunia Uhuru na demokrasia,ndio maana kauli kama "this is America" hazikati midomoni mwao!
 
Nilipoangalia video hiyo nimeguswa sana, nikawaza siasa za Tanzania na tulipofika!

That's a Good damn reaction from the president hasa alipozuia watu wa usalama wasiende kumshughulikia "heckler" na badala yake akachukua muda kumjibu!

Mwisho wa yote the whole crowd ukapiga makofi kwa Rais kuonesha wameridhishwa na majibu yake nanma alivyorespond!

Angalia video hii utapata kitu!
Obama responds to hecklers at speech:

Siyo kila kitu lazima tuige...Ukiruhusu hayo kwenye third world ni fujo kwa maana itatokea fujo...Huwezi kuchukua kila kitu cha Marekani na kuleta huku kwetu...Kama ni hivyo basi mnataka na sisi turuhusu ndoa za jinsia moja??? Mnataka hata jeshini turuhusu mashoga???
 
Back
Top Bottom