Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,382
- 108,074
- Thread starter
- #21
Hapana mkuu....kidoogo tuna-refresh mind maana mikikimikiki ya Magufuli kama hukupata vitu vidogo vidogo kama hivi akili inakuwa nzito.Kama lema vile .upuuzi upuuzi
hajui program thamani ya program kama hizi! Aliyeanzisha anauwezo wa kupata fedha nzuri tu kama atapeleka kwenye TVsHapana mkuu....kidoogo tuna-refresh mind maana mikikimikiki ya Magufuli kama hukupata vitu vidogo vidogo kama hivi akili inakuwa nzito.