Video: Ukiona katanuka Vidole vya mguuni usioe

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,896
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na Video ya muhenga akitoa ushauri kwa vijana kuhusu Mke wa kuoa.

Muhenga huyu moja ya sharti alilotupa vijana ni kutooa Mwanamke mwenye Vidole vilivyotanuka miguuni.

ANGALI VIDEO HAPA
Your browser is not able to display this video.


Je ni kweli wanawake wenye Vidole vilivyotanuka wana matatizo?

Written by Mjanja M1 ✍️
 

Wapumbavu nao pia uzeeka.

Sasa kuna uhusiano gani wa vidole na hulka au tabia za mtu?

Huyo mzee mpaka hapo alipo ni faida gani kubwa amepata kwa kumuoa huyo ambaye vidole vyake havina gaps kama anavyodai?

Wazee sasa hivi ndo wamekuwa mabalozi wakubwa katika kurithisha vitu visivyo na tija wala mantiki kwa vizazi vijavyo.

Sasa hapo unakuta vijana nao wanalibeba hilo na kuanza kuzunguka nalo kuangalia wadada miguu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…