Wambie waache mambo ya ulozi, hao watu na wajita wana mambo hayo sana wanafanya hakuendelei. Wasomi kibao lakini wakishaondoka ndo nitolee hiyo...labda warudi kuzikwa tu kutokana na mambo ya ulozi.
Nilikuwepo hapo Christmas ya mwaka Jana na familia Yangu hakika nilifurahi Sana, nakumbuka baada ya kufika hapo nansio tulienda kijijini BUHIMA tukarudi usiku...
Samaki daily na udaga si mchezo