Video song: No Reforms No Election

Video song: No Reforms No Election

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
3,613
Reaction score
9,272
Hii Ngoma imeachiwa huko YouTube channel

Ama kweli No Reforms No Election ni moto wa nyika huu na definitely ndio habari ya mjini na duniani kwa sasa...

Actually kama ulisoma Fasihi shuleni na ukaambiwa kuwa;

".......Literature is a reflection of social realities...."

Basi maudhui ya wimbo huu yanasadifu kwa 100% uhalisia wa kinachoendelea ktk jamii ya Kitanzania leo hii...
"
 
Hawa ndio wasanii pekee ninaowatambua, wale wengine wavaa chupi tu.
 
Mbona sijasikia sauti ya Roma wala Ney?
 
  • Thanks
Reactions: apk
Safi sana, bonge la ngoma. No reforms no election.
 
Jengeni magereza mengi watanzania washaamka kama kuamka nidhambi kwenu mnataka watanzania waendelee kulala usingizi wa pono.
 
  • Kicheko
Reactions: apk
Back
Top Bottom