Video: Simba safarini kuelekea Zanzibar, Hii Tunabeba

Video: Simba safarini kuelekea Zanzibar, Hii Tunabeba

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Kikosi cha wekundu wa Msimbazi Simba tayari kimeanza Safari ya kuelekea kisiwani Zanzibar kwenye mchezo wa Fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Barkane, Mchezo huo utapigwa Mein25, 2025 katika dimba la New Amaan Complex.

 
Dk 90...... shoot on target 0

Labda mtabeba samaki
JamiiForums-1493404601.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
SELIKALI HII TUTAISHTAKI KWA MUNGU

ALIYEDANGANYA HIZO BILIONI 31.
ametuumiza sana watanganyika
 
Back
Top Bottom