Video: Show Me - Harmonize x Rich Mavoko

Ah ah ile samataa,hii kichuya..inayofata
 
Reactions: Lee
huyu dada anaecheza mwanzoni kabisa ni vera???
 
Ebana wasafi ni shida yan noma sema konde boy kunaplace kakatikia sambwanda ile kiutaaamuuu
 
Wangeweka tahadhari ya " PGA" ili usitazamwe na watoto
 
Kwel kla mtu ana maskio yake..nymbo ya kawaida sana..
Warekod nje ya wasafi now..mana 2 b honest,ngoma peke on fire from wasafi kwa ss n kijuso emb imagine..[emoji23][emoji23]
 
Kwel kla mtu ana maskio yake..nymbo ya kawaida sana..
Warekod nje ya wasafi now..mana 2 b honest,ngoma peke on fire from wasafi kwa ss n kijuso emb imagine..[emoji23][emoji23]
true au wawe na producer zaid ya mmoja nadhan huyu wa sasa level yake ndio isha fika mwisho
 
its just a normal song, next skngs warekod nje ya wasafi studio si dhambi

Kwel kla mtu ana maskio yake..nymbo ya kawaida sana..
Warekod nje ya wasafi now..mana 2 b honest,ngoma peke on fire from wasafi kwa ss n kijuso emb imagine..[emoji23][emoji23]

Msitake kuwapangia watu kazi zao, kama mnawajua maproducer na studio nyingine kwanini hamuendi mkaimbe tusikie hizo nyimbo zenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…