Salaam
Kifaa tajwa hapo juu nimetafuta sikipati na wengine wananiambia niagize.
Ninachotafuta ni video sender ya kuchomeka kwenye video camera na kwenye laptop au tv kwa kutumia Mini Hdmi kwenye Camera na pia mi
Hdmi kwenye upande wa tv au laptop.
Umbali wa camera na tv/laptop 50meter au 100m inatosha.
Nadhani humu kuna ma Guru kwenye sekta hiyo naombeni msaada wa kuelekezwa chimbo