Video review Sophia Sophia wa benpol

Video review Sophia Sophia wa benpol

mr.piano

Member
Joined
Apr 29, 2015
Posts
11
Reaction score
3
Licha ya kua ni mwanamziki anaefanya poa sana kwenye tasnia hii ya muziki wa bongo flavor hasa kwa upande wa R&B, kias cha kubeba tuzo kadhaa za mwanamuziki bora wa R&B pia hata wimbo bora wa R&B kijana mpole mtanashati mwenye sauti ya kuvutia kabsa entertainment voice mwanamuziki benpol
Hivi karibuni tena hakutaka kutuangusha mashabiki wake hasa baada ya kutoa ngoma kali na inayozidi kushika kasi kwenye chati za stesheni mbalimbali za radio na television hapa nchini SOPHIA pamoja na mandhari nzuri ya mazingira natural tena yale ya kijijini kabisa kubwa lililonovutia katika video ile ni kuwemo kwa video queen mwenye albinism!!
Kwa hali ilivyosasa hapa nchini mwetu kufuatia mauaji haya ya viumbe wa Mungu wasio na hatia wenzetu wenye albinism, benpol ameitumia nafas hii kushow love kwa hawa wenzetu na kiukweli video imetulia iko vizur na inavutia amefanya kitu cha tofauti sana, ambacho binafsi mimi sijawahi kuona na nakiona kiko tofauti kwenye video za wanamuziki wengine big up benpol kwa kazi nzuri
 
Wimbo uko poa mno tena unafaa kufundishia jiografia.
Ila huyo video queen cosmetician kamkosea kwa kumzidishia lipstick.Otherwise
it is a great video.
 
Hiyo video amei-shoot katika kijiji cha Mpunguzi "A" (Maarufu kwa kilimo cha Zabibu) katika mkoa wa Dodoma
 
Napenda sana nyimbo za Ben pol na anajitahidi....ila inabidi aongeze kiwango kwenye video zake coz haziwezi kucompete kwenye internatiola market! He should invest more
 
Back
Top Bottom