Hili bonge jinga linatingisha matako. Badala ya kumchezesha Rais kilume ndago.Rais was Afrika kusini Cyril Ramaphosa ameonekana akicheza wimbo maarufu wa ‘water’ ulioimbwa na msanii wa nchi hiyo Tyla.
View attachment 2900647
Ikumbukwe pia mwaka huu Msanii Tyla ameshinda tuzo kubwa duniani za Grammy awards kama Best African Music Performance kupitia wimbo wake huo wa ‘water’.
Wangoni tumefanyaje tena?Wazuru kucheza jadi Yao, ndo maana wamewaambukiza Wangoni
[emoji1][emoji1]Classmate yupo vizuri...[emoji4]
MnikeHichi kitoto cha 2000 kina imba aisee, me nlikuwa sikijui, sasa leo nimerud nyumbani mapema me sio mtu wa tv kivile nkasema let me tune in into mtv, you know sometimes you gat to see tv commercials you dont see when you are not at home. Aisee kanaimba bwana