Yaani hata hujui unachoongea sasa,,, muongo hakutajwa na mengi bungeni,,, na mengi sio mbunge ila bunge ndilo limependekeza Muhongo achukuliwe hatua,, na hiyo tuhuma imefanyiwa kazi PAC,, PAC inatambulika kikatiba na kisheria na PAC imefanya kazi chini ya kiapo, pia kumbuka wajumbe wa hiyo PAC, 90% ni kutoka CCM na wapo mpaka kwenye NEC ya CCM sasa sijui MENGI na ROSTUM wameingiaje hapa??? ROSTUM anamiliki kampuni kubwa ya construction inaitwa CASPIAN na hii ni international company! inafanya kazi na makampuni makubwa duniani kama ACASSIA,PETRA DIAMOND, GOLDEN PRIDE, NA PIA HAWA WALIJENGA DUBAI TOWER,,, Mkuu acha porojo kaa kwenye maada...