Video: Prof Muhongo adaiwa hela za Escrow

Kiasi gani wapi inaonyesha kuwa kachukua hela?

Mna kazi mwaka huu mipango yenu ya kifisadi imekwama haina jipya mbele ya wadau wa maendeleo kama muhongo.

Kumbe mlibeba kwenye rambo ili kufuta ushahidi, subiri tu mambo yote karibu yatakuwa hadharani, na bahati mbaya mtageukana wenyewe kwa wenyewe.
 
Mjepo jiheshimu husiwe kama bwana afya inzi wa chooni,unapost post thread moja kama zuzu,ata kama ni timu muhongo sasa umekuwa kero unachefua,jiheshimu.
 
Mengi na chadema walijua kuwa propaganda zao zitamsukuma jk kufanya uamuzi ambao hauna mashiko usiojali hoja na ukweli kumbe jk akiambiwa huchanganya na zake.

Wewe na team magamba hamjitambui mwisho wenu unakuja mtajiharishia maofsini mwenu.
 
Huyu anadhani musoma ni kama Dar wanakula miguu ya kuku.

Swissme
 
Siku hiyo alikuwa na Gari la serikali ilibidi akimbie na kwenda kuliweka kwa mkuu wa Mkoa Musoma anafika kwa shida sana, hukimbilia vijijini
 
Watu wa Dar wanakula miguu ya kuku ndio mahana wapowapo tu kama mazuzu huku wakidhurumiwa kodi zao.

swissme
 
Hiyo video si ya musoma illchukuliwa kwenye mikutano mingine ya Chadema kisha Vijana wa a Mengi na Mkono wameifanyia kazi.

Acha uongo,umelewa pesa za escrow wewe,huu ni mtaa wa uindini musoma mjini.Muhongo siku hizi anatembea musoma kwa kujificha ficha kutokana na mtiti aliyoupata siku hiyo
 
Kosa la mtoi ni nini katika huu uzi?? Yeye amekuwekea video inaonyesha watu wakiimba...jadili maada iliyomezani kaka,,, sio oooh the ndio maana CHADEMA hawajakupa cheo cha maana ,, ongea kama rijali mkuu...
 
Yaani hata hujui unachoongea sasa,,, muongo hakutajwa na mengi bungeni,,, na mengi sio mbunge ila bunge ndilo limependekeza Muhongo achukuliwe hatua,, na hiyo tuhuma imefanyiwa kazi PAC,, PAC inatambulika kikatiba na kisheria na PAC imefanya kazi chini ya kiapo, pia kumbuka wajumbe wa hiyo PAC, 90% ni kutoka CCM na wapo mpaka kwenye NEC ya CCM sasa sijui MENGI na ROSTUM wameingiaje hapa??? ROSTUM anamiliki kampuni kubwa ya construction inaitwa CASPIAN na hii ni international company! inafanya kazi na makampuni makubwa duniani kama ACASSIA,PETRA DIAMOND, GOLDEN PRIDE, NA PIA HAWA WALIJENGA DUBAI TOWER,,, Mkuu acha porojo kaa kwenye maada...
 
Hiyo video si ya musoma illchukuliwa kwenye mikutano mingine ya Chadema kisha Vijana wa a Mengi na Mkono wameifanyia kazi.

Video niya Musoma na hapo ni mtaa wa uhindini ambao prof Muongo ndio aliopo zomewa.

Chukizwa na kutokufuatwa kwa maazimio ya bunge, yangefuatwa muongo angekuwa amesha timuliwa siku nyingi.
 
Kosa la mtoi ni nini katika huu uzi?? Yeye amekuwekea video inaonyesha watu wakiimba...jadili maada iliyomezani kaka,,, sio oooh the ndio maana CHADEMA hawajakupa cheo cha maana ,, ongea kama rijali mkuu...

Vijana wa magamba wanamhofia sana mtoi kwa uwezo wake wa kujenga na kusimamia hoja, wengi huishia kumtukana na kuleta viroja lakini hawagusi hoja zake.

Inasikitisha sana kuwa na vijana wasio jua kujibu hoja kwa hoja.
 
...mbna iko wazi, unajtukana mwnyw
Utachekwa na watu
 
Vijana wa magamba wanamhofia sana mtoi kwa uwezo wake wa kujenga na kusimamia hoja, wengi huishia kumtukana na kuleta viroja lakini hawagusi hoja zake.

Inasikitisha sana kuwa na vijana wasio jua kujibu hoja kwa hoja.

Nani anamuhofia Mwl wa UPE ?
 
Muhongo kuendelea kuwa Waziri wa Nishati na Madini siyo HEALTH kwa CCM na Serikali yake!!! Hana Moral Authority ya kuendelea kuongoza hiyo wizara ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…