Mengi anayehaha kumchafua Mhongo ni Mwizi kuliko mtanzania yeyote , Mengi halipi kodi, Aliifirisi NBC kisha akala njama wakachoma Ushahidi wote, Rostam kauza hisa zako za voda kwa Dola million 300 akamugawia Mengi akamsaidia kuhamisha hizo pesa pasipo kulipa kodi, Wafanyakazi wake Anawaibia kwa kuwalipa mishahara Mibovu, Vitalu vya Gesi tu vimemfanya Mengi anatumia Mabilioni kuwapa akina Sendeka na wenzao ili wamung'oe Mhongo, Mengi huwatumia vilema ( walemavu) kuomba misamaha ya kodi, Mengi hana cha bure wewe Ukiona anatoa misaada basi ujue nyuma kuna kitu anakiwinda, Huyo babu Mengi ni mtu Hatari kuliko unavyofikiri.Kha! Huyo mwizi anaezomewa hadharani wewe ndio unamtetea,? au hujaingalia hiyo video. Kama wewe unamuona ni mdau wa maendeleo muajiri kwenye shamba lako.Hatua inayofuata sasa ni kurushikinyesi huyo MUONGO wako.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Cha Ajabu eti sakata linawahusu Majaji, Gavana, Waziri wa Fedha, waziri wa Viwanda na Biashara, mwanasheria Mkuu na Tanesco, Lakini huko Kote Mengi kakufumbia Macho kaamua kukomaa na Muhongo pekee, wengine hataki, huo ni Unafiki na chuki za wazi wazi.Niliwahi kusema wazi kuwa katika watu ambao hawanaakili pale chadema mohamed mtoi utakuwa unaongoza mda mwingi unautumia kupika majungu na umbea .
Ndiyo maana chadema waligundua pia hawajakupa nafasi ya maana kwenye chama wakijua kuwa wewe ni zero kuliko hata mbowe.
Wakuu.
Hivi karibuni Prof Muhongo amekutana na nguvu ya umma Musoma mkoani Mara baada ya wananchi kujitokeza huku wakiimba "...tunaka hela zetu...".
Prof Muhongo ni waziri wa nishati na madini ambaye amewekwa kiporo kwenye sakata la ubadhirifu wa fedha za umma kupitia akaunti ya Tageta Escrow yenye ufisadi ambao umeitikisa CCM na nchi mwishoni kwa mwaka 2014.
Hivi karibuni amefanya ziara mkoani Mara ambayo inatafsirika kuwa ni dharau na kejeli kwa wananchi wa mkoa huo na Tanzania kwa ujumla hasa kutokana na kauli za mara kwa mara kuwa nchi inaongozwa kwa misingi ya utawala bora.
Zomea zomea hiyo ni muendelezo wa zomea zomea kadhaa ambapo imefika hatua gari au wafuasi na wanachama wa ccm wamekuwa wakipigiwa kelele za mwizi wanapopita kwenye maeneo mbalimbali wakiwa na sare au bendera za chama.
Angalia video clip uone nguvu ya umma ilivyo jikusanya na kuimba kudai hela zao.
Bofya hapa https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=10204633415888386&id=1024755191&_rdr
Nguvu ya wahuni na walevi wasiojua hata maana ya mikataba ni nini.
Hatujaona ilikuwa musoma ya marangu au kishumundu yani wewe na uzee wote huo bado unazungumza uongo we mbugila kweli.
Jibu mada iliyopo acha story, ni kweli aliambiwa arudishe hela au hakuambiwa? kama hujui kusoma hata kusikia?Niliwahi kusema wazi kuwa katika watu ambao hawanaakili pale chadema mohamed mtoi utakuwa unaongoza mda mwingi unautumia kupika majungu na umbea .
Ndiyo maana chadema waligundua pia hawajakupa nafasi ya maana kwenye chama wakijua kuwa wewe ni zero kuliko hata mbowe.
Evidence ziko wapi au hiyo post yako ndio ushahidi wenyewe, silly.Pesa za escrow ni dola million 120 tu, na angalau Rugamalila kalipa kodi, Sasa tizama hizi ambazo zilihamishwa kwenda nje pasipo kulipa kodi kwa Msaada wa Regnal Mengi baada ya kupewa Mgao wake, Rostam aliuza Dowans kwa dola million 120 na kisha Serikali ikalipa fidia dola million 100, pia Huyo Huyo Rostam mshirika wa Mengi akauza hisa za Voda kwa Dola million 300 hakulipa kodi, jumla ya Pesa zote ni Dola million 520 ni Pesa nyingi na Laiti kodi ingelipwa Serikali wangepata pesa Nyingi kuliko hata hizo za escrow, Lakini Pesa ambayo ingelipwa Kodi Rostam alimpatia Mengi ili kumaliza Ugonvi wao na kumunyamazisha asitoe Siri, haya yote yamefanyika wakati Muhongo hajawa Waziri. Kwa wale Wanamwona Mengi ni MUNGU sasa waanzie hapa kumjua vyema.
CCM ukweli unawauma.Kila mwenye akili anaelewa kuwa fedha za umma zimeliwa na Mi CCM mjepo unamshambulia bure mohamedmtoi ,yeye ni mjumbe tu.Tunasubiria Kiporo kisije kuchacha tupo makini sana kuliko mnavyofikiri.Majibu marahisi ya Escrow yatawapa wakati mgumu 2015.Mjiandae kisaikolojia
Wakuu.
Hivi karibuni Prof Muhongo amekutana na nguvu ya umma Musoma mkoani Mara baada ya wananchi kujitokeza huku wakiimba "...tunaka hela zetu...".
Prof Muhongo ni waziri wa nishati na madini ambaye amewekwa kiporo kwenye sakata la ubadhirifu wa fedha za umma kupitia akaunti ya Tageta Escrow yenye ufisadi ambao umeitikisa CCM na nchi mwishoni kwa mwaka 2014.
Hivi karibuni amefanya ziara mkoani Mara ambayo inatafsirika kuwa ni dharau na kejeli kwa wananchi wa mkoa huo na Tanzania kwa ujumla hasa kutokana na kauli za mara kwa mara kuwa nchi inaongozwa kwa misingi ya utawala bora.
Zomea zomea hiyo ni muendelezo wa zomea zomea kadhaa ambapo imefika hatua gari au wafuasi na wanachama wa ccm wamekuwa wakipigiwa kelele za mwizi wanapopita kwenye maeneo mbalimbali wakiwa na sare au bendera za chama.
Angalia video clip uone nguvu ya umma ilivyo jikusanya na kuimba kudai hela zao.
Bofya hapa https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=10204633415888386&id=1024755191&_rdr
Na anafanya haya yote chini ya Serikali inayoongozwa na CCM na wanamuangalia tuu.Mengi anayehaha kumchafua Mhongo ni Mwizi kuliko mtanzania yeyote , Mengi halipi kodi, Aliifirisi NBC kisha akala njama wakachoma Ushahidi wote, Rostam kauza hisa zako za voda kwa Dola million 300 akamugawia Mengi akamsaidia kuhamisha hizo pesa pasipo kulipa kodi, Wafanyakazi wake Anawaibia kwa kuwalipa mishahara Mibovu, Vitalu vya Gesi tu vimemfanya Mengi anatumia Mabilioni kuwapa akina Sendeka na wenzao ili wamung'oe Mhongo, Mengi huwatumia vilema ( walemavu) kuomba misamaha ya kodi, Mengi hana cha bure wewe Ukiona anatoa misaada basi ujue nyuma kuna kitu anakiwinda, Huyo babu Mengi ni mtu Hatari kuliko unavyofikiri.
niliwahi kusema hapa watu wakadhani natania,siku huyo muhongo alikuwa anakunywa uji mara dishes ilibidi akimbie na kuacha uji juu ya mezayan mleta mada unatufanya.si wapumbavu yuko wap prof.muhongo hapo na bado mtamtengenezea clip nyingi.tu.jembe linaendelea kupiga.kazi.
Ha ha ha ha ha ha,huo uadilifu wa mtoi umetoka wapi mwambie akueleze bila kukuficha ile ishu inayomhusu yeye na martha dada ambaye ni katibu wa mbunge jimbo la kawe halafu uje kubisha au kusema ukweli.