[VIDEO] Presidents Kagame, Magufuli commit to strengthen ties

mchambawima1

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
2,487
738
By: TIMES REPORTER
  • PUBLISHED: July 02, 2016

1467419184kagame-magufuli.jpg

Presidents Kagame, Magufuli and First Ladies Jeannette Kagame and Janeth Magufuli in Dar es Salaam, yesterday. (Village Urugwiro)

President Paul Kagame and his Tanzanian counterpart, President John Pombe Magufuli have pledged to strengthen ties between Rwanda and Tanzania.

The two Heads of State made the commitment during a bilateral meeting, yesterday, in Tanzania’s business capital Dar es Salaam, where President Kagame had been invited on a state visit.

Accompanied by the First Lady Jeannette Kagame, the President was received by his Tanzanian counterpart, Magufuli, and the First Lady Janeth Magufuli.

The reciprocal visit started with both Presidents having a bilateral meeting, where they committed to strengthen ties in key sectors like aviation to accelerate development for both nations. This was followed by signing of a Memorandum of Understanding on key areas of cooperation between the two countries.

“Our visit, and the agreements signed represent our desire for continued partnership, and closer collaboration on issues of mutual interest in all sectors. The President and I have had good discussions, building on the spirit of friendship, strong historical ties, and the future aspirations shared by Tanzania and Rwanda. We will continue to strengthen our longstanding bilateral relationship, and work more closely together to create more opportunities, and increased prosperity for our citizens, as well as the greater East African region,” President Kagame said during a joint press briefing after the meeting.

On his part, President Magufuli said his government will continue to take measures to facilitate the efficiency of the Dar es Salaam port.

“Our two countries enjoy good relations based on common mutual relations and respect. Rwanda is our best friend. We are committed to ensure the transport infrastructure project is implemented in a timely manner,” Magufuli said.

Last month, the two countries agreed to form a joint implementation committee (JIC) to closely monitor important areas agreed during the 14th session of the Joint Permanent Commission (JPC) following a directive by President Kagame and Magufuli after the latter’s visit to Rwanda in April.

Meanwhile, President Kagame also officiated at the opening of the 40th Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) at the Saba Saba Grounds.

The President was the keynote speaker and congratulated the Tanzania Trade Development Authority for attracting a record number of exhibitors, including more than 15 Rwandan companies.

Kagame noted that this confirms that Tanzanians are eager to do business and are working hard to develop their country and the region.

“Rwandans share this commitment. Our visit here is an occasion to learn how we can do more business together and take our countries forward. Tanzania and Rwanda are bound by more than history and the border we share. We also have a common purpose and future as members of the East African Community and the Central Corridor. The people of our region have the drive and dynamism, and they can only benefit from the vast opportunities, that come with faster and deeper integration,” President Kagame said.

The President and the First Lady were also hosted to a State Banquet where President Kagame hailed the spirit of goodwill that defines the relationship between Rwanda and Tanzania, noting that beyond geographical proximity, the two countries share a common history, and the values of hard work, respect, and cooperation.

“We both seek stability, prosperity, and dignity for our nations and our continent. May the friendship between Rwanda and Tanzania continue to flourish, in the years to come,” Kagame added.

President Kagame is the second Head of State to visit Tanzania since President Magufuli was sworn in last November. The first was Vietnamese President Truong Tan Sang.

editorial@newtimes.co.rw
 
Kwa benefit ya watanzania, government itupie copy ya hiyo mou tuijadili openly maana Rwanda ya Paka haiaminiki
 
Hahahaha....ngoja tuwaletee wataalam wawafundishe mawili matatu kwa manufaa yenu. Hii sio mara ya kwanza nakumbuka miaka kama 7 iliyopita niliwahi kukutana na Mzee Jaka Mwambi hapa kigali akiwa kwenye study tour na wenzake kutoka kwenye taasisi ya mazingira ya tanzania.

Hivi wanajamvi huyu mtu anaeitwa jMali siku hizi yuko wapi? hahahahaha.

mchambawima1 , Talkandtalk , MUKAMASIMBA , JokaKuu , MK254 ,
 
Serikali yenu ilishawaambia kuwa mambo hayo ni siri ya baba na mama, watoto hamtakiwi kujua. Ni kama wazazi wakishakubaliana kumwoza binti na mahari wakapokea, binti hatakiwi kuhoji. Ni "kuwolewa" tu!
 
Hahahaha....ngoja tuwaletee wataalam wawafundishe mawili matatu kwa manufaa yenu. Hii sio mara ya kwanza nakumbuka miaka kama 7 iliyopita niliwahi kukutana na Mzee Jaka Mwambi hapa kigali akiwa kwenye study tour na wenzake kutoka kwenye taasisi ya mazingira ya tanzania.

Hivi wanajamvi huyu mtu anaeitwa jMali siku hizi yuko wapi? hahahahaha.

mchambawima1 , Talkandtalk , MUKAMASIMBA , JokaKuu , MK254 ,
Unamtafuta halafu akitokea unatokwa povu. Subiri, atakuja tu.
 
LOL!!! hii ndio ilikuwa siku yake ya mwisho kuonekana uswahilini... baada ya hapo usiniulize lol! kushoto ni kamanda wao Col Wilson Irategeka... anaweza akawa karudi bush... kiwanja kimenuka!
ClNp6y-WIAAohKd.jpg
 
Unamtafuta halafu akitokea unatokwa povu. Subiri, atakuja tu.

hahaha...muulize tangu nimkute anatokwa na povu mwaka 2014 nani kakimbia...ila this time kurudi hawezi...the political landscape has changed, he no longer has the wapambez. wote wamemkimbia. he is a lone ranger.
 
After the current euphoria, wapambez will be back, believe me. And very soon, he will het his wapambez back.
 
hahaha...muulize tangu nimkute anatokwa na povu mwaka 2014 nani kakimbia...ila this time kurudi hawezi...the political landscape has changed, he no longer has the wapambez. wote wamemkimbia. he is a lone ranger.
ah wapi! wanaogopa kufungwa... kwani haujawahi kusikia yaliowakuta... watu wenye comments za kichawi? kuna mwingine nasikia wamemtoa kwenye whats app... yani duh... balaa, kweli #hapani kazitu
 
Hahahaha....ngoja tuwaletee wataalam wawafundishe mawili matatu kwa manufaa yenu. Hii sio mara ya kwanza nakumbuka miaka kama 7 iliyopita niliwahi kukutana na Mzee Jaka Mwambi hapa kigali akiwa kwenye study tour na wenzake kutoka kwenye taasisi ya mazingira ya tanzania.

Hivi wanajamvi huyu mtu anaeitwa jMali siku hizi yuko wapi? hahahahaha.

mchambawima1 , Talkandtalk , MUKAMASIMBA , JokaKuu , MK254 ,

..nadhani JPM na KP ni viongozi wasiotabirika.

..je tuna uhakika mahusiano yao yatakuwa mazuri muda wote JPM atakaokuwa madarakani?

..nasubiri Joseph Kabila na Nkurunziza watembelee Tz halafu tusikie kauli na misimamo ya JPM.

..Wasiwasi wako ni kauli za JPM ambazo mara nyingi huwa hapimi madhara yake.
 
Kwanza Raisi Kagame ni mmoja wa viongozi wachache Africa ambao wana msimamo na hawabadilikibadiliki kwa kufuata upepo. What you see is what you get.

Pili kuhusu mahusiano yao ya baadae hiyo ni "what if" scenarios ambazo no one can predict ila one thing is for sure, kwa rwanda Magufuli is a breath of fresh air. He is going to be a partner ambae atatusaidia kufika malengo yetu ya vision 2020. Tukipata reli ya kati, tukapata bandari ambayo ni efficient uchumi utakua beyond the present rate of 7% p.a.
 
..good points.

..mimi napendelea mahusiano yawe baina ya wananchi na yasitegemee misimamo ya maraisi wetu ambayo huwa inabadilika-badilika.

..kwa hiyo umuhimu wa mradi wa reli ya kati na maboresho ktk bandari ya dsm can not be overemphasized.

..naunga mkono hoja zako.
 
Mahusiano baina ya wananchi has always been good. Rwanda inatambua mchango wa Tanzania katika kuleta maendeleo ya nchi yetu. Hapa katikati kuna kamdudu kaliingilia kati lakini sasa nadhani we are back on the road. Kuna watu wenye nia mbaya (read jMali et la.) ambao walikuwa wanafurahia kuona uhusiano kati ya Rwanda na Tanzania ukiwa mbaya lakini kama ile nyimbo ya R.Kelly, "the storm is over". Hii miaka kumi ijayo, tutahakikisha tunaweka msingi mzuri so that vizazi vijavyo vya akina jMali visiweze kabisa kuturudisha nyuma.
 
Hahahaha....ngoja tuwaletee wataalam wawafundishe mawili matatu kwa manufaa yenu. Hii sio mara ya kwanza nakumbuka miaka kama 7 iliyopita niliwahi kukutana na Mzee Jaka Mwambi hapa kigali akiwa kwenye study tour na wenzake kutoka kwenye taasisi ya mazingira ya tanzania.

Hivi wanajamvi huyu mtu anaeitwa jMali siku hizi yuko wapi? hahahahaha.

mchambawima1 , Talkandtalk , MUKAMASIMBA , JokaKuu , MK254 ,

Dah! Jamaa wewe unamfuata hadi chini alikoangukia, ukishampiga mwanaume chini, muache anyanyuke, lakini wewe huna huruma, unafuata hadi huko chini kwa ngumi na mateke. Ndugu yetu huyo kapiga kimya siku hizi, atakua anapitia hizi mada kimya kimya. Japo namiss sana mijadala yake, alikua na bidii sana. Hata yule JustDoItNow sijui kaishia wapi.

Kwa kweli kagame amedhihirisha kuwa rais mvumilivu, baada ya hayo matusi yote na tuhuma za kila aina, bado yupo tu na leo hii anakaribishwa Tanzania kwa shangwe za kila aina. Maadui na mahasidi wake wamebaki kupigwa na butwaa. He is my hero, nimejifunza mengi kupitia kwake, uongozi ni kazi ngumu.

Ni dhahiri rais Magufuli anataka ushirikiano na watenda kazi, hataki watu wenye maneno mengi na ndio maana amewapimia hewa Waswahili, hawaongei ongei tena, anawaburuza hata kwenye Whatsapp. Wapo kimya, niliona hata bungeni wanazibana midomo...hehehehe!!! Yaani njia ya kumfanya Mswahili atende kazi ni kumzuia asiongee, maana ataibuka na vijisababu vya kila aina. Nilikua simuelewi Magufuli, nikaona kama anakua mnyanyasaji, lakini taratibu picha inaniingia.

Anyway, hongera Rwanda na Wanyarwanda, hongera EAC. Nina uhakika tutatoka tu kwa mwendo huu...
 
lol!!! believe it or not, you don't need EKG to... I hope jMali is OK where ever he is... but one thing is clear though... SUPRAVENTRICULAR TACHYCARDIA is evident, a HUGE damage... kyekyekye
 
Huyu jamaa ana hibarnate mpaka 2025..hahaha. platform yake imeenda na maji..hahaha
 
Back
Top Bottom