Wako kwenye time clock ama wame clock out? Kama wame clock out kwa nini wana uniform? Kama wako kwenye time clock hapo likitokea timbwili wanatakiwa wa respond ama wako dance-lunch break?
You see, kama umepata laana ya kuishi nchi za wenzetu ukiona kitu kama hiki halafu watu wanacheka wanafurahia unashangaa mno. Huwezi kuona uniformed law enforcement officer Ulaya au Marekani yuko kwenye li-pati anacheza mangoma, never, mwiko!!!!!!
So foreign exposure ni laana fulani kwa saab vitu vingi kama hivi vinakushtua, vinakuumiza kichwa wakati wengine wanaona mbona pooooa tu?! Lakini haya ndio yanafanya Waafrika tunaishi kama bata mzinga kwenye mifereji ya maji taka, tumejawa turkey stuffing vichwani.