Video: Polisi achezea kichapo

Ndio Ba vichaaa upeo wao ulipofikia ukute mwenyewe anajiona smart kuweka iyo karambash
 
Acha uongo, wapi huko na sababu ilikuwa nini? halafu member wa JF ulikuwa peke yako maana sijaona mwingine wa kuthibisha na hata huko kwingine kwenye social media hakuna
 
Mkuu, kwa kawaida huwa sipendi kulumbana na watu wasio na akili. Nimewaambia kuwa mnapotunga uongo lazima uendane na ukweli. Hapa mmebugi sana. Tangu lini Trafick akawa amevaa mavazi meupe na kofia nyeusi? Hahahahahaaaa
Aisee wewe ndo hovyo kabisa,kwani ni wapi mleta uzi kasema hao ni trafic wa tanzania?..Unatoa povu bila kujua unachotolea povu ni nini?...Yaan wewe na wa Lumumba wenzako hamna ofauti kabisa...Mnalazimishwa kucheza ngoma msioijua hata inachezwaje..Poor you.
 
Acha uongo, wapi huko na sababu ilikuwa nini? halafu member wa JF ulikuwa peke yako maana sijaona mwingine wa kuthibisha na hata huko kwingine kwenye social media hakuna
Hhahahahaa,Lumumba bana,Nkikuuliza nia wapi mleta uzi amesema hao ni polisi wa tanzania utaonyesha?...Ivi kwa nini Lumumba huwa mna mshawasha sana?...Buku 7 haiwatoshi au?
 
lakini lazima umkubali huyu Mkurya amekwepa mitama njia nzima...

hahahahahahahahhahaaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…