Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Please wakuu Nina movie nimezi download nataka kuangalia kwenye Laptop yangu kwa kutumia RealPlayer lakini RealPlayer inanipa message hii This video cannot be played due to old version of your codecs.
Nimejaribu kudownload hizo codecs lakini bado hazifany kazi kama kuna mtu mwenye ujuzi anielekeze nifanye nini,au kama kuna altenaltive nyingine ya kutumia kuangalizia movie kwenye laptop.
Nimejaribu kudownload hizo codecs lakini bado hazifany kazi kama kuna mtu mwenye ujuzi anielekeze nifanye nini,au kama kuna altenaltive nyingine ya kutumia kuangalizia movie kwenye laptop.