wamisako
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 917
- 871
Kwa video hii ni dhahiri kua chama cha mapinduzi wameamua kuanza kulipiza visasi baada ya watu waliopigania kuenguliwa kwa Waziri mstaafu Edward Lowassa lakini CCM wakumbuke kua visasi hivi vitawafanya watu kukosa uhuru wa kumchagua mtu wamtakae kipindi cha kura za maoni kwa kuhofia tu atakaepita atarudisha visasi.
CCM walipaswa watambue kua kipindi kile cha kura za maoni 2015 kila mmoja alikua na hisia na mapenzi kwa mtu flani na huwezi mradhimisha kama wanavotaka kufanya sasa.
CCM walipaswa watambue kua kipindi kile cha kura za maoni 2015 kila mmoja alikua na hisia na mapenzi kwa mtu flani na huwezi mradhimisha kama wanavotaka kufanya sasa.