Video: Nairobi ranked third best 2017 travel destination

Wololo yaye...

Depay hawa ndungu zetu wanashida? Siwaelewi? Ama ni lack of exposure! Ama ni kutuenjoy? Yaani man, aah! Ukipata mtu anasema ama analinganisha Dar na Nairobi anasema Dar ni kubwa, Kama huyu sasa ni kuishi vijijini akaja mjini Dar akadhani ndio mwisho ama nini?

Kenyans we need to open a psychological research center to study hawa ndugu zetu ilitukijadili tuwe tunajua!!Daah
 
Good idea... Then Psychology will be a best seller at the university.... Hawa ni watu roho chafu.... Uzuri yao ni kuongea tu. Don't even bother so much with them.
 
Depay hawa ndungu zetu wanashida? Siwaelewi? Ama ni lack of exposure! Ama ni kutuenjoy? Yaani man, aah! Ukipata mtu anasema ama analinganisha Dar na Nairobi anasema Dar ni kubwa, Kama huyu sasa ni kuishi vijijini akaja mjini Dar akadhani ndio mwisho ama nini?

Kenyans we need to open a psychological research center to study hawa ndugu zetu ilitukijadili tuwe tunajua!!Daah
there is no much difference between the two cities!
Ingawa by all standards Nairobi is more advanced in terms of infrastructures, life styles of inhabitants and weather ofkoz gives Nairobi added advantage!
in terms of growth Dar inakuwa much faster though speed inaweza kupungua in the next 5 - 10 years!
Ukubwa wa Dar kwa maana ya population density ndio changamoto kubwa ikfuatiwa na ujenzi holela in suburbs!

Ubepari unawanyima wakenya wengi chance ya ku-move ktk green pastures, ndio maana wengi wenu mnaishi Kibera au wapangaji ktk apartments za mabepari wachache! sababu ya movements ndogo mji hauwi na pressure ktk ukuaji na hivyo unawapa nafasi city authority kupanga mji, ukuaji unaofuata utaratibu! Dar watu wanajenga nyumba kuliko mchwa na ni kila kona!

Ila uhitaji wa psychologist, I think Kenyans mna huitaji mkubwa Zaidi, that's why you have many at the moment!!!!, issue ya demand na supply! the way you are reacting to comments is not normal, mnachukulia serious kila comment na issues zenyewe ni just opinions zetu wenyewe hazina impact ktk chochote tunachosema!
 
Hahahaha... You must be the new Danganyikan Ambassador to Kenya and an experienced analyst on matters Kenya.... Your opinions Don't count. Sorry
 
e6b719cec7e94509f606cb090a60d92a.jpg
Let it stink.. Matter of fact a want it to stick more.. We have kibera, Mathare... We are proud of them.... But what you bongolalas are failing to understand is even with that slum in Kenya.,we are still far ahead of you.... The most creative and most hardworking people come from those slums, near kibera there's toi market, most of them do there business there.. Some even earn more than you (game over) soo everytime you talk about kibera and Mathare just know they have more money than you....
 
Unawazimu wangekua wanatengeneza fedha wangekaa mabandani? Kwenye mabanda yaliozungukwa na sewage a kinyesi ????? Ww Ni moja ya wakenya wajinga kabisa
 
Look don't try to be funny.. There's no naked sewage surrounding the slum...kuja kibera wewe... Utajionea
 
there is no much difference between the two cities!
Ingawa by all standards Nairobi is more advanced in terms of infrastructures, life styles of inhabitants and weather ofkoz gives Nairobi added advantage!
in terms of growth Dar inakuwa much faster though speed inaweza kupungua in the next 5 - 10 years!
Ukubwa wa Dar kwa maana ya population density ndio changamoto kubwa ikfuatiwa na ujenzi holela in suburbs!

Ubepari unawanyima wakenya wengi chance ya ku-move ktk green pastures, ndio maana wengi wenu mnaishi Kibera au wapangaji ktk apartments za mabepari wachache! sababu ya movements ndogo mji hauwi na pressure ktk ukuaji na hivyo unawapa nafasi city authority kupanga mji, ukuaji unaofuata utaratibu! Dar watu wanajenga nyumba kuliko mchwa na ni kila kona!

Ila uhitaji wa psychologist, I think Kenyans mna huitaji mkubwa Zaidi, that's why you have many at the moment!!!!, issue ya demand na supply! the way you are reacting to comments is not normal, mnachukulia serious kila comment na issues zenyewe ni just opinions zetu wenyewe hazina impact ktk chochote tunachosema!
Nairobi tops the list of the fastest growing urban centers in the world, there is no Dar even among top 100
 
Unawazimu wangekua wanatengeneza fedha wangekaa mabandani? Kwenye mabanda yaliozungukwa na sewage a kinyesi ????? Ww Ni moja ya wakenya wajinga kabisa

Hayo mabanda wanayalipia hela nyingi ikilinganishwa na mkaazi wa hali ya chini ,hata kati hivi hapo Dar.
Kwa mfano Shillingi elfu tatu na mia tano za Kenya kwenye eneo/kijiji cha mabanda ni sawa na Shillingi 75,000 hadi 100,000 za Kitanznia.
Kibanda duni hapo kiwanja cha Fisi kinakodeshwa kwa shillingi elfu mia moja za Kitanzania kwa mwezi kweli?
You get the point?

Have a nice weekend.
 
Nairobi tops the list of the fastest growing urban centers in the world, there is no Dar even among top 100
City Mayors: World's fastest growing urban areas (1)
The world's 20 fastest growing cities - including Hangzhou, venue for the G20 summit
unajua nyie wakenya mna matatizo sana!
mi sijui we unatumia statistics zipi!
hizo ni links 2 tofauti ambazo zote zina Dar Es Salaam in top 10!
Sijui tunaongea watu wa levels zipi hapa! maana wapo watu they just hear from their neighbours na kutumia kama ndio facts walizonazo!
Naomba links za hizo statistics zako, sitokubishia!
 
Hayo mabanda wanayalipia hela nyingi ikilinganishwa na mkaazi wa hali ya chini ,hata kati hivi hapo Dar.
Kwa mfano Shillingi elfu tatu na mia tano za Kenya kwenye eneo/kijiji cha mabanda ni sawa na Shillingi 75,000 hadi 100,000 za Kitanznia.
Kibanda duni hapo kiwanja cha Fisi kinakodeshwa kwa shillingi elfu mia moja za Kitanzania kwa mwezi kweli?
You get the point?

Have a nice weekend.
Dar hamna huo uharo ww. ..
iyo Ni aibu yenu mnajiita mmeendelea kumbe hamna lolote .
 
Hahahaha... You must be the new Danganyikan Ambassador to Kenya and an experienced analyst on matters Kenya.... Your opinions Don't count. Sorry
Hakuna matata!
I know Kenyans!
sio lazima ukubali, najua Kenyans huwa mnapenda kushindana hata pasipo na sababu!
sasa nyie hata mnashindana juu ya Olduvai na Mt. Kilimanjaro vitu wala hamvimiliki!
Nyie ni mabingwa wa plagiarism duniani, hata hiyo video clip inawezekana mmejitengenezea wenyewe!
 
This is what i was talking about! and provide conventional links

Capture.JPG
 
This is what i was talking about! and provide conventional links

View attachment 454701
Nairobi iko wapi hapo?
Na hiyo ni list ya ukuaji wa miji au uchumi ktk mataifa?
Umeona mi ninaposema nyie watu mnapenda "kuchakachua"!

Anyway, weka link na sio kipande cha concept ambacho unaweza kukitumia utakavyo!
Just give us the link mengine tutajua tukisoma!
 
Back
Top Bottom