Video na Picha: Rais Magufuli afuturisha viongozi mbalimbali

Chuo cha mafunzo ya ukosoaji,kulalamika,kusifia Na siasa soon kinaanza Tz,I hope wabongo watafaid sana kuimarisha elimu walozaliwa nayo
 
Kula kona Mzee, sijazungumzia udini Mimi, Ina mana kumsifu Kristu Ni kuleta udini?? Jicheki
Sentensi moja ni hoja, ila ukurasa mzima ni hadithi!
upende sana kuchagua hoja kuliko hadithi kwasabu hoja ni mafanikio na hadithi ni burudani ya masimulizi.
Huwezi kutafuta maisha kwa kutumia hadithi.

Hoja: ni kazi moja/chache inatokupa/zinazokupa faida kubwa
Hadithi: ni mkusanyiko wa vishughuli vingi vinavyoleta kipato hafifu na mda wote itakufanya uwe bize hata ukose mda wa kupumua.

Tumia akili kuliko nguvu. Unaweza ukajifanya wewe ni mpambanaji kumbe mda na nguvu unayotumia haviendani.

MAGUFURI AMEFUTURISHA WAISLAM,TUMSIFU YESU KRISTU IMETOKA WAPI NA HUONI HAIHUSIANI??
 
Oyaa, staki ngonjera hapa jombaaa?sawa? Kwani Magufuli Ni muislam? Lakni mbona kafuturisha waislam, nchi yetu haina dini, so PITA HIVI
 
Back
Top Bottom