Rushwa tuZilikua za nini
Ww jamaa kila kitu kwako n siasa, utashindwa kubeba mimba ya mumeo na utasingizia siasa 🗑️Alifanya kosa kubwa kupokea hela za Samia
Usije ukatapeliwaKumbe ni mwanamke🤭
Kila kitu siasani, Mwanamuziki hana upande, Ccm damu wala ACT damu hivyo hivyo kwa Mwanamichezo hawana upande hakuna mambo ya Simba/ Yanga damu....Yeyote anayekuja mkikubaliana terms tu mnafanya kazi, cha msingi usiwakwaze upande mwingine...Alifanya kosa kubwa kupokea hela za Samia
Kuna sehemu nilisoma ameigomea familia yake, baada ya kumtaka aachane na mitandao.Yaani Mzee Yuko hoi lakini bado anatupia kama kawaida.
Lini hiyo?Alifanya kosa kubwa kupokea hela za Samia
Una uhakika?Mwanamuziki hana upande, Ccm damu wala ACT damu hivyo hivyo kwa Mwanamichezo hawana upande hakuna mambo ya Simba/ Yanga damu....
In fact,Mwanamukuziki mkongwe mzee Ally zero tumwombee hali yake ki afya haiko sawa.Hata kama famimia yake haijasema lakini kimwonekano hali yake ki afya haiko sawa.
Katika pita pita zangu huko mitandao mingine nimeona video yake kusema ukweli afya yake haiko sawa tumeombee.
Ngoja nikuwekee uzi wakeLini hiyo?
Muziki ndiyo kazi yao, Wawe huru kufanya kazi na chama chochote walichoingia nacho mkataba wa kuburudisha, cha msingi wasitumie jukwaa kunanga chama kingine...Una uhakika?