Video Mpya ya Kwake LAVALAVA , Wimbo Unaitwa "TUACHANE ( OFFICIAL VIDEO ) "

hashimrashidy

Senior Member
Sep 11, 2015
197
145

Attachments

  • Screenshot (497).png
    Screenshot (497).png
    154.3 KB · Views: 257
Naupenda huu wimbo jamani
una Mahadhi ya Pwani kama Kassin Mganga

hizi ndizo nyimbo zetu sasa... yani ukiusikia kama uko Chumbe vileunaogelea...

"kinagaubaga Mbele wa umati tuachane, na kama hautojali tuite waumini,mapadri na mashekhe yaishe labda sa kwanini tutesane.
Kweli ww ndio nikupendae ila unanipa adhabu tina tusitoane nyongo na kama umenichoka niache kistaarabu"
Aendelee hivi hivi
 
Naupenda huu wimbo jamani
una Mahadhi ya Pwani kama Kassin Mganga

hizi ndizo nyimbo zetu sasa... yani ukiusikia kama uko Chumbe vileunaogelea...

Kweli ww ndio nikupendae ila unanipa adhabu tina tusitoane nyongo na kama umenichoka niache kistaarabu"
"nimebaki Kongoro Nyama Sina Nimifupa"
napendaga Sana Kipande Hiki
 
Back
Top Bottom