Video mpya ya Harmorapa: Kiboko ya mabishoo

Video mpya ya Harmorapa: Kiboko ya mabishoo

Hongera zake, kijana ana-confidence, hajali maneno mabaya yanayosemwa juu yake. Muhimu tujifunze ku-appreciate vipaji vya watu na kumheshimu Mungu alivyoumba.
 
Bahati mbaya tu jamaa hana kipaji, ataishia kwenye Kiki za matukio tu,
 
Dah, kichupa cha ukweli, jamaa anajua. Sema isingekuwa ishu ya Bashite ku-take control ya nchi, jamaa now angekuwa ameshafahamika kimataifa.
 
Embu mwenye hili songi la huyu dogo Harmorapa aliweke hapa. Nimeliskia mahali limenivutia kweli.. Dogo ndo hivo tena anatoka kwa style ya crab.. Anaenda ki ubavu ubavu lakini anaweza kufika goals zake. Hata asipokuwa top angalau pesa ya kula ikiingia ni mafanikio tosha.

Wasioelewa core principles za ku take risk na ku invest watabisha daima na watabaki kusema dogo hajui kuimba, ndo anatoka hivo ki utani utani..

Harmorapaaa kiboko ya mabishoo..

Ngoma limesimama sana,

Mi nawakubali sana vijana wanao hustle kwenye field zao. BTW hakuna mwenye hatimiliki ya mafanikio..

Niwekeeni ngoma hapa
 
Video nzuri sana, lakini bado hajanishawishi nasubiri ngoma yake ya tatu
 
Big up to harmorapa. Unajua siku zote wanaokupandisha watu na kukushusha watu. But ukijiongeza kidogo unakua imara kuliko matarajio ya wengi. Well done harmorapa, sometimes usisubiri ashuke toka juu, mfwate bana cause unaweza subiri mpaka ukadata. Watu wanatumia helicopter, maisha mswano.
 
Kichupa hatari kuliko hata zile anazotoa kiba
 
Nini theme ya wimbo,nimskia misonyo na kujisifusifu..ndio nyimbo za kibongo bongo huwa hata burundi tu hapo hazfiki....imbeni ajenda za kimataifa ili muwe wa kimataifa....wimbo unamuimba mwenziwe...wasanii wakimbongo bna!!!
 
mkuu hizo enzi unazoziongelea ww zilishapita......muziki unaovuma ss hvi ni ule unaosikilizika vizuri masikioni haijalishi ajenda wala nini......
mfano watu wanasikiliza hadi miziki ya kikongo lakini hawaelewi agenda yyte na bado wanaenjoy good music....go hamorapa go
 
Usjidiganye ww,zimepita wapi hio nyimbo itaskilizwa locally kwani imeishia kuwasema watu wa hapahapa,ameacha kuimba vitu vya kueleweka....bado sana ndio maana msic wetu hatuvuki mipaka ya nchi yetu kwa sabb yuko so local and narrow
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom