Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,896 May 31, 2024 #1 Watakuwa kabila gani hawa? Your browser is not able to display this video.
covid 19 JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 8,162 Reaction score 20,365 May 31, 2024 #2 Mjanja M1 said: Watakuwa kabila gani hawa? View attachment 3004842 Click to expand... Wewe unawaona washamba ila wao wanajiona wajanja kutoka na mazingira yao muhimu ni furaha kwa mapenzi yaooo..!
Mjanja M1 said: Watakuwa kabila gani hawa? View attachment 3004842 Click to expand... Wewe unawaona washamba ila wao wanajiona wajanja kutoka na mazingira yao muhimu ni furaha kwa mapenzi yaooo..!
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,825 Reaction score 113,411 May 31, 2024 #3 covid 19 said: Wewe unawaona washamba ila wao wanajiona wajanja kutoka na mazingira yao muhimu ni furaha kwa mapenzi yaooo..! Click to expand... Na wapo na real love, nimewakubali sana.
covid 19 said: Wewe unawaona washamba ila wao wanajiona wajanja kutoka na mazingira yao muhimu ni furaha kwa mapenzi yaooo..! Click to expand... Na wapo na real love, nimewakubali sana.
H Heyyouyoungman Member Joined Mar 28, 2024 Posts 80 Reaction score 250 May 31, 2024 #4 Mi mwenyewe nipo Kilyamatundu huku Sumbawanga ndani ndani saana, Nyumban mpaka upande bodaboda ndio unafika ila naona watu wa Daslam washamba sana sio kidogo
Mi mwenyewe nipo Kilyamatundu huku Sumbawanga ndani ndani saana, Nyumban mpaka upande bodaboda ndio unafika ila naona watu wa Daslam washamba sana sio kidogo
grand millenial JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 4,014 Reaction score 5,662 May 31, 2024 #5 Hii kenya ila kabila sijui