Mmarekani mweusi auawa na Polisi mwanamke kwa kufuata kile Polisi alichokisema

Kwanza alikua anafanya nini mpaka akae ule mkao...

Pili kaambiwa muda asalimishe bastola yake, lakini ni kama alikua kwenye kitendo cha kufanya jambo ndiyo maana wakamuwahi...

Though askari hawakupaswa kumfyatulia risasi sababu wao wana bullet proof...

Cc: mahondaw
 
Bongo sidhani kama angepata hata muda wa kujishauri kuweka silaha chini.!
 
Sipati picha hill tukio lingetokea Dubai ,Oman,Qtar,saudia,Kuwait,Iran sasa hivi warabu wangekuwa wameshaitwa mashetani,mambwa,makatili lakini limetokea marekani kuna watu wanatokwa na majasho kwa ajili ya kutetea kwa Hali hii waafirika tuna safari ndefu sana.
 
Jamii ya wamarekani weusi ndio inaongoza kwa uharifu na mambo ya kupigana risasi kiasi cha kwamba polisi wanakuwa hawana imani nao sana hasa pale mniga anaposhika siraha.
Bora walivyo muua. Watu weusi wengi ucheki bobu ni mwingi sana uko USA. Na ndio wanaoongoza kwa uharifu wa bunduki. Kudili na watu wenye bunduki ni kuua tuuuuuuu, hakuna jinsi. Silaha zina maala pake sio ukishanunua silaha yanaenda na silaha mpaka sehemu ambazo utakiwa kwenda na silaha yaaani uvunjifu tuu wa Amani, unamkuta club na sehemu zenye mikusanyiko ya watu aje silaha
 
Kwanza alikua anafanya nini mpaka akae ule mkao...

Pili kaambiwa muda asalimishe bastola yake, lakini ni kama alikua kwenye kitendo cha kufanya jambo ndiyo maana wakamuwahi...

Though askari hawakupaswa kumfyatulia risasi sababu wao wana bullet proof...

Cc: mahondaw
Kwahiyo kisa mtu ana bullet proof asijihami?
 
Mitandao inawapotosha enyi wagalatia, cjui kwanini hamubadiliki! Kila cku waarabu, kila cku waislamu. Mnatabu sana ndugu zangu. ninyi ni wa2 wa aina gani lakini! Mbona mko different sana na cc waislamu! Hamuishiwi maneno. Ndiomana mabalaa na mikosi ni ninyi tu, huko kwa ndugu zenu wa kujipendekeza/ufaransa kanisa limewaka moto,huko kwa mikatili/wagalatia wenzenu afrika ya kusini jengo la ibada limelipuliwa na makafiri wenzao. Munateseka sana mjuwe! Badilikeni jombaa.
Mbona unaongea na pressure kubwa? Waarabu walivyotutesa sisi huku kwetu afirika na bado kuna wajinga wanawenda kutafuta kazi huko. Kesi nyingi UK ni waarabu na wahindi wanaowatesa wafanyakazi wa ndani. Mzungu atakupa mkataba utasign ukikubalshauri yako. Mzungu hanyanganyi mtu pasi ila nyie mnachukua mpaka utu wake.
 
Mi huwa hawa black Americans siwatetei kabisa .

They are rudes ,wapuuzi ,wapumbavu wapumbavu tu.

Wana fanya violence kila siku,bangi wao,madawa wao ,guns violence wao,ulalamishi wao .

Shule hawataki, wao wanajua muziki,basket ,madawa,guns,big booty etc .

Ndio maana hawaaminiki .

Mzungu anaona Africans ni bora zaidi ya black Americans
 
Mbona unaongea na pressure kubwa? Waarabu walivyotutesa sisi huku kwetu afirika na bado kuna wajinga wanawenda kutafuta kazi huko. Kesi nyingi UK ni waarabu na wahindi wanaowatesa wafanyakazi wa ndani. Mzungu atakupa mkataba utasign ukikubalshauri yako. Mzungu hanyanganyi mtu pasi ila nyie mnachukua mpaka utu wake.

Una ushaidi wwte unaoonyesha walitesa babu ze2? Najua utaniretea historia ziliyo2ngwa na manaswara wenzako/wazungu mikafiri. Coz chochote kinacho2ngwa na hao jamaa zenu mnakuwaga wepec sana kuamini.

Haya endeleeni ivyo ivyo na chuki zenu dhidi ya uislamu/waarabu,na ndomaana misukosuko na taabu nyingi inawapata. Ivyo Uislamu utaendelea kuwepo na unazidi kukuwa duniani kila kukicha, na chuki zenu zote, na uongo wenu wote + Mizungi mikafiri hautawasaidia kitu.

Na waarabu waliotuletea ustaarabu wataendelea kutustaarabisha.
 
Mutampingaje wakati mnajivunia anawaletea ARV, Nyinyi hamwajui hawa watu weupe, tuulizeni ss tunaoishi huku kwao, ingawaje hawatushindi sisi waafrika kwa unyama ila wengine wanatupita, INAWEZEKANA HAMJUI CHANZO CHA HUO UGONVI MNAANZA KUWALAUMU NIGGAZ, UKWELI ANAJUA HUYO MUUWAJI MWEUPE NA HUYO ALIEPIGWA RISASI ACHENI KUWASHABIKIA HAWA MASHETANI WEUPE WAUWAJI
sasa unafanya nini kwa hao mashetani, si urudi kwenu.
 
Kwanza alikua anafanya nini mpaka akae ule mkao...

Pili kaambiwa muda asalimishe bastola yake, lakini ni kama alikua kwenye kitendo cha kufanya jambo ndiyo maana wakamuwahi...

Though askari hawakupaswa kumfyatulia risasi sababu wao wana bullet proof...

Cc: mahondaw
Kichwa nacho kina bullet proof
 
Back
Top Bottom