Slowly JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 10,700 Reaction score 35,784 Jun 5, 2021 #1 Tukutane sheli Your browser is not able to display this video.
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,854 Jun 5, 2021 #2 Kuna Michael Jackson wa mwananyamala yeye anachezaga nyimbo za zuchu tu...ngoja siku nimfotoe anatembeaga na kispika chake cha bluetooth
Kuna Michael Jackson wa mwananyamala yeye anachezaga nyimbo za zuchu tu...ngoja siku nimfotoe anatembeaga na kispika chake cha bluetooth
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Jun 5, 2021 #3 maroon7 said: Kuna Michael Jackson wa mwananyamala yeye anachezaga nyimbo za zuchu tu...ngoja siku nimfotoe anatembeaga na kispika chake cha bluetooth Click to expand... Na kwenye kutembea kiroboti anafanyaje kwa wimbo wenyewe ndo sukari
maroon7 said: Kuna Michael Jackson wa mwananyamala yeye anachezaga nyimbo za zuchu tu...ngoja siku nimfotoe anatembeaga na kispika chake cha bluetooth Click to expand... Na kwenye kutembea kiroboti anafanyaje kwa wimbo wenyewe ndo sukari
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,854 Jun 5, 2021 #4 Daynamo said: Na kwenye kutembea kiroboti anafanyaje kwa wimbo wenyewe ndo sukari Click to expand... Anakata mauno afu anakua anashtuashtua...dogo f.ala sana yule
Daynamo said: Na kwenye kutembea kiroboti anafanyaje kwa wimbo wenyewe ndo sukari Click to expand... Anakata mauno afu anakua anashtuashtua...dogo f.ala sana yule
Bondpost JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 7,096 Reaction score 10,618 Jun 5, 2021 #5 maroon7 said: Kuna Michael Jackson wa mwananyamala yeye anachezaga nyimbo za zuchu tu...ngoja siku nimfotoe anatembeaga na kispika chake cha bluetooth Click to expand... Hahah namjua anazunguka jamaa mpaka sinza ana speaker yake πππ
maroon7 said: Kuna Michael Jackson wa mwananyamala yeye anachezaga nyimbo za zuchu tu...ngoja siku nimfotoe anatembeaga na kispika chake cha bluetooth Click to expand... Hahah namjua anazunguka jamaa mpaka sinza ana speaker yake πππ
magasi jnr JF-Expert Member Joined Dec 3, 2017 Posts 364 Reaction score 573 Jun 6, 2021 #6 maroon7 said: Anakata mauno afu anakua anashtuashtua...dogo f.ala sana yule Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
maroon7 said: Anakata mauno afu anakua anashtuashtua...dogo f.ala sana yule Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,854 Jun 6, 2021 #7 Bondpost said: Hahah namjua anazunguka jamaa mpaka sinza ana speaker yake πππ Click to expand... Yaaah huyohuyo anapigaga black trouser na white shirts zinang'aa balaa na nywele kaziweka curl. Mitaa yake kuanzia sinza,mwenge,makumbusho,kinondoni na mwananyamala
Bondpost said: Hahah namjua anazunguka jamaa mpaka sinza ana speaker yake πππ Click to expand... Yaaah huyohuyo anapigaga black trouser na white shirts zinang'aa balaa na nywele kaziweka curl. Mitaa yake kuanzia sinza,mwenge,makumbusho,kinondoni na mwananyamala
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,977 Reaction score 14,106 Jun 6, 2021 #8 Hii ndo aliambiwa hiv ndo akalinde Brand ya dabliyusibi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,456 Reaction score 198,046 Jun 6, 2021 #9 Inapendeza...