VIDEO: Mawaidha ya Sheikh Kipozeo

VIDEO: Mawaidha ya Sheikh Kipozeo

Huyu sheikh anaongea mambo ya maana sana ya wanadamu kupendana, wengine ni 'tupendane waislamu, tusiwe kama makafir, tujiepushe na makafir' ukija kwa wakristo, ' mpende jirani yako kama nafsi yako na jirani yako ni mtu yoyote kwa mafano wako'.
 
Back
Top Bottom