Video Mauaji yaliyofanyika Musoma, Mara, Tanzania 02/18/2010 2 Comment(s) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video Mauaji yaliyofanyika Musoma, Mara, Tanzania 02/18/2010 2 Comment(s)

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 6, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,772
  Likes Received: 4,913
  Trophy Points: 280
  Mauaji yaliyofanyika Musoma, Mara, Tanzania 02/18/2010
  <!-- 221332087041811 --> 2 Comment(s)


  mauaji haya ya kinyama yalifanyika katikati ya mwezi Februari 2010.
  <embed type="application/x-shockwave-flash" src="http://v6.tinypic.com/player.swf?file=2ns6kpy&s=6" height="420" width="510">

  Tafadhali zingatia kuwa video hii ina picha za kutisha na ikiwa hustahimili tafadhali usitizame.
  <embed type="application/x-shockwave-flash" src="http://v6.tinypic.com/player.swf?file=s6oeok&s=6" height="460" width="580">​

  http://www.wavuti.com/19/post/2010/02/mauaji-yaliyofanyika-musoma-mara-tanzania.html
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,174
  Likes Received: 3,218
  Trophy Points: 280
  hazionekani
   
 3. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #3
  Mar 6, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  mmmh, hizo picha zinatisha, nimelia.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,174
  Likes Received: 3,218
  Trophy Points: 280
  futa machozi usilie...ila mbona mimi sizioni?
   
 5. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #5
  Mar 6, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  pole Preta labda bado unatumia window 97,
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,174
  Likes Received: 3,218
  Trophy Points: 280
  nimefanikiwa kuona...sizani kama wale waliofanya vile ni binadamu,machozi yamenitoka...wale watoto wamekosa nini...binadamu amekuwaje siku hizi? nawaza sipati jibu
   
 7. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #7
  Mar 6, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  yaah, inaumiza Preta, yule mtoto ambae panga limezama kisogoni , aaah nikitu kibaya kuwaza.
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,174
  Likes Received: 3,218
  Trophy Points: 280
  mahali nilipochoka kabisa ni pale muuaji alipoanza wa kwanza...roho haikumuuma akaacha?...akakata wa pili, wa tatu mpaka wakafika 17 hiyo roho ni ipi?...hapo sasa vitabu vya dini vinapotuambia dhambi zote ni sawa ndipo panaponishinda
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  Mar 6, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  eeeh, kazi kwelikweli, hivi nikumbushe Waziri wa mambo ya ndani mpaka leo amewahi kujitokeza hadharani kulaani haya mauaji ?
   
 10. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #10
  Mar 6, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,405
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  <TABLE border=0 cellSpacing=6 cellPadding=0 width="100%"><TBODY><TR><TD noWrap><!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->nguvumali<!-- google_ad_section_end --> [​IMG]<SCRIPT type=text/javascript> vbmenu_register("postmenu_830474", true); </SCRIPT>
  JF Senior Expert Member
  <TABLE cellSpacing=0 cellPadding=0 width="100%"><TBODY><TR style="BACKGROUND-IMAGE: url(https://www.jamiiforums.com/xperience/images/red_faded.png)"><TD height=11 width=5>[​IMG]</TD><TD height=11 width="100%">[​IMG]</TD><TD height=11 width=1>[​IMG]</TD></TR></TBODY></TABLE><TABLE cellSpacing=0 cellPadding=0 width="100%"><TBODY><TR style="BACKGROUND-IMAGE: url(https://www.jamiiforums.com/xperience/images/green_faded.png)"><TD height=11 width=5>[​IMG] <TD><TD height=11 width="100%">[​IMG] <TD><TD height=11 width=1>[​IMG]</TD></TR></TBODY></TABLE>​
  </TD><TD width="100%"> </TD></TR></TBODY></TABLE>
  Nguvumali na Preta mmenitisha naogopa hata kizifungua nisije angua kilio offisini bure.
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,174
  Likes Received: 3,218
  Trophy Points: 280
  kama una moyo mwepesi usifungue...zinahuzunisha sana
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,174
  Likes Received: 3,218
  Trophy Points: 280
  labda nimemsahau...hivi ni yule mkuu wa mkoa ndio waziri wa mambo ya ndani? maana mimi huwa ndio huyo namuona
   
 13. kisasangwe

  kisasangwe JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  once nnapoona hivi nasikia kama moyo unasimama. hili tukio linanikosesha usingizi.ni kama la yule mtoto aliekatwa kichwa kikapatwa muhimbili.when ilipotokea kila saa nilikua namwangalia mwanangu shingoni nalia tu.jamani utu uko wapi? ni shetani gani aliewaingia hawa watu? sasa hivo vitoto viliwakosa nini.? huyo aliezamishwa panga nichwani ndo inaniuma zaidi.
  na jana nayo pia.. nina hofu kua mkoa wa mara itakua lango la mauaji tuu iwapo hatua za haraka na makini zisipochukuliwa.

  najiuliza JE
  1. ni ukosefu wa elimu kwa watu wa mara?
  2. ni ukosefu wa hofu ya MUNGU kwa watu wa mara?
  3.ni kulewa sifa ambazo wanapewa na watu wengi kua watu wa mara ni wajeuri,katili na kwamba kila mmoja ni mjesh??kwamba wanataka kuikumbusha jamii kua bado ni wakatili?? maana tangu utoto i was told kua watu wa mara ni katili... na tena ilikua mtu akileta mchumba toka mkoa huo atatengwa hadi na kijiji.

  jamani its high time now watu tufunge na kuomba ili watu wawe na hofu ya mungu.tufanye special prayer for mara region.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...