Video: Mange Kimambi anasema uhuru wetu ni muhimu sana kuliko mabilioni anayookoa Magufuli

Nsumba ntale tz

JF-Expert Member
Apr 19, 2016
713
762
Wote ambao bado mmelogeka Na majipu ya JPM mpaka hamuoni hatari kubwa itakayotokea huko mbeleni kutokana Na Bunge kuzimwa tutawaweka kwenye sala zetu ili Mpate kuamka usingizini before it's too late and join with us. .
.

Yoyote anae support JPM kuminya Bunge La Tanzania atakuwa hajaenda shule Na Kama ameenda shule itakuwa hakusoma masomo ya history Au politics Maana Kama umesoma masomo hayo ungekuwa unajua kabisa serikali yoyote ya kidemokrasia inapoanza ku-silence vyama vya upinzani Kwa namna yoyote ile that country is going down the drain. Vyama vya upinzani Ni watanzania pia so Kama JPM anaweza kuwanyanyasa hao trust me eventually yoyote Yule ambae hatokubaliana Na JPM will meet the same fate! Trust me on that one.
.
. #bungelivetz
 
Video halo news: our freedom has a greater value than the billions he rescued Magufuli

Acha ujinga wewe, Mbowe ameleta hotuba uharo bungeni, hebu fuatilia mchango wa Zitto Kabwe linganisha na"wazee wa live" uone nani ana akili. Akili ndogo haiwezi kushindana na akili kubwa, endeleeni kuimba wimbo wa live na mzungushe sana mikono muone kama maendeleo yatakuja.
 
Punguza mihemko halafu changia kama greater thinker, Zitto kafanya nini tena hapa na Mbowe??
 
Huyu Mange si ndio alitaka kumchafua mh waziri mmoja hivi? Naona anatumiwa na mafisadi huyu Mange.
 
Kiukweli Wabunge wa CCM wanakosea sana
Na wale wanao shabikia pia wanakosea sana
 
Acha ujinga wewe, Mbowe ameleta hotuba uharo bungeni, hebu fuatilia mchango wa Zitto Kabwe linganisha na"wazee wa live" uone nani ana akili. Akili ndogo haiwezi kushindana na akili kubwa, endeleeni kuimba wimbo wa live na mzungushe sana mikono muone kama maendeleo yatakuja.
Maendeleo yanajumuisha vitu vingi, taifa lilikuwa limetoka kwenye enzi za ...Mheshimiwa Spikaaaaaaaaaaaaaaa...........Leo katika Bunge.........haya tayari yalikuwa ni sehemu ya maendeleo, kitendo cha kurudisha watu huko, wachelewe kulala ili kesho yake wawahi kuamka ili kuwahi foleni ya usafiri sio kizuri, ni kurudhisha nyuma maendeleo.
 
Yaani niache kulala nisubiri kuangalia mawazo ya nape? Aliyo yakorokocha kutwa nzima ndo tuangalie usiku. Mi najilalia nasubiri asubuhi kuabalishwa iwe uwongo sawa ukweli sawa. Si ndo wanavyotaka tusipate habari sahihi
 
Yego mmla wasu yani echalo chinu bhasi la gi
 
Kaaz kweli kweli...vyovyote itakavokuwa lkn watz wanataka kusikia habar in first hand. Kunyimwa hiyo haki si jambo zuri kwa maendeleo ya demokrasia...labda niulize hivi KAMA WEWE NI MUUMINI HALAFU SHETANI AKIJA KUKWAMBIA UMUABUDU MUNGU WAKO UTAMBISHIA AU??
 
Wote ambao bado mmelogeka Na majipu ya JPM mpaka hamuoni hatari kubwa itakayotokea huko mbeleni kutokana Na Bunge kuzimwa tutawaweka kwenye sala zetu ili Mpate kuamka usingizini before it's too late and join with us. .
.
Video halo news: our freedom has a greater value than the billions he rescued Magufuli

Yoyote anae support JPM kuminya Bunge La Tanzania atakuwa hajaenda shule Na Kama ameenda shule itakuwa hakusoma masomo ya history Au politics Maana Kama umesoma masomo hayo ungekuwa unajua kabisa serikali yoyote ya kidemokrasia inapoanza ku-silence vyama vya upinzani Kwa namna yoyote ile that country is going down the drain. Vyama vya upinzani Ni watanzania pia so Kama JPM anaweza kuwanyanyasa hao trust me eventually yoyote Yule ambae hatokubaliana Na JPM will meet the same fate! Trust me on that one.
.
. #bungelivetz
Huyo mangi kimanga ana akili isiyo na akili kabisa! Anyway imekula kwake; tumuache aisome namba!
 
Kaaz kweli kweli...vyovyote itakavokuwa lkn watz wanataka kusikia habar in first hand. Kunyimwa hiyo haki si jambo zuri kwa maendeleo ya demokrasia...labda niulize hivi KAMA WEWE NI MUUMINI HALAFU SHETANI AKIJA KUKWAMBIA UMUABUDU MUNGU WAKO UTAMBISHIA AU??
Mbona hata marekani na uingereza hawaonyeshe bunge live kutwa ?
 
Acha ujinga wewe, Mbowe ameleta hotuba uharo bungeni, hebu fuatilia mchango wa Zitto Kabwe linganisha na"wazee wa live" uone nani ana akili. Akili ndogo haiwezi kushindana na akili kubwa, endeleeni kuimba wimbo wa live na mzungushe sana mikono muone kama maendeleo yatakuja.

Pumbavu hata hujui kuwa Akili kubwa ya Mbowe ndio iliyomuibua Zitto.. Bila mbowe zito ungemjulia wapi... Hayawani wewe..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom