Video: Majangili wakamatwa na pembe za ndovu

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,969
Jeshi la polisi kwa kushirikiana na wananchi waaminifu, wamefanikiwa kukamata pembe za ndovu kutoka kwa majangili.

Wananchi hao wameiomba serikali kuwashughulikia majangili hao ili kulinda maliasili zetu kupitia tembo wanaouawa.

My take: Kila mwananchi akiwa mzalendo ipasavyo, tutakomesha uhalifu kwa kiasi kikubwa sana.

 
yan hao wangekamatiwa mitaa yangu ya mwanjelwa bs tungekua tumeshawapga kiberiti kitambo
 
Kweli amewa-tag watu kuweka msisistizo na kuwaombea makamanda wapewe zawadi
 
Jamani Ni meno ya ndovu au tembo Na Si pembe.tembo Hana pembe those are elongated canines.
 
Back
Top Bottom