VIDEO - Mabomu Yaua 64 Wakiangalia Kombe la Dunia Uganda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO - Mabomu Yaua 64 Wakiangalia Kombe la Dunia Uganda

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jul 13, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  <table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;"></td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
  [​IMG]
  Mmoja wa majeruhi wa mabomu nchiniUganda</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top"> Monday, July 12, 2010 4:17 AM
  Watu 64 akiwemo Mmarekani mmoja wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa nchini Uganda kutokana na mabomu mawili yaliyolipuka sehemu mbili tofauti ambazo mamia ya watu walijazana kuangalia fainali ya kombe la dunia kati ya Hispania na Uholanzi.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Zaidi ya watu 64 wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti ya milipuko ya mabomu mjini Kampala katika maeneo ambayo mamia ya watu walijazana kuangalia fainali ya kombe la dunia.

  Raia mmoja wa Marekani ni miongoni mwa watu waliouawa na mabomu hayo. Hadi sasa polisi wamethibitisha vifo vya watu 23 vilivyotokea katika mgahawa wa Kiethiopia na klabu ya rugby.

  Mabomu hayo yalilipuka katika sehemu mbili tofauti yakipishana muda kwa dakika 10.

  "Taarifa tulizo nazo zinaonyesha kuwa watu 13 wamefariki katika mgahawa wa Ethiopian Village na wengine wengi wamejeruhiwa vibaya huku watu wengine 10 wamefariki katika klabu ya rugby", alisema inspekta wa polisi, Kale Kayihura.

  Polisi wamesema kuwa watu wengi wamejeruhiwa vibaya katika matukio hayo mawili ambayo yalitokea huku mamia ya watu wakiwa wamejazana kuangalia mechi ya fainali ya kombe la dunia kati ya Uholanzi na Hispania ambapo Hispania ilitawazwa mabingwa kwa ushindi wa bao 1-0.

  "Mabomu yalilipuka wakati kumbi za baa zikiwa zimefurika watu waliokuwa wakiangalia mechi ya fainali ya kombe la dunia", alisema msemaji wa polisi, Judith Nabakooba.

  Kundi la wanamgambo wa Somalia la Al-Shabbab ndilo linalohisiwa kufanya shambulizi hilo kutokana na ahadi waliyoitoa miaka michache iliyopita kuwa watafanya mashambulizi nchini Uganda na Burundi kwakuwa nchi hizo zimepeleka majeshi yake nchini Somalia kuisaidia serikali iliyopo madarakani.

  Jumla ya wanajeshi 5000 toka Uganda na Burundi wapo mjini Mogadishu ili kuilinda serikali iliyopo madarakani.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; text-align: center; width: 491px;">
  </td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;">

  VIDEO - Mabomu Yaua 64 Uganda
  <object height="385" width="480">


  <embed src="http://www.youtube.com/v/MlxVHqx-fys&hl=en_US&fs=1?rel=0" type="application/x-shockwave-flash" allowscriptaccess="always" allowfullscreen="true" height="385" width="480"></object>

  Chanzo </td> </tr> </tbody></table> <table style="width: 488px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td style="width: 429px;">
  </td> <td style="width: 249px;"> NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.</td></tr></tbody></table>
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  For God's sake how can a person kill in the name of God? I think this is another god who is not and will never be God!
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Jul 13, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Yesu alisema saa yaja ambapo kila auaye hudhani anamfanyia Mungu ibada!
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Jul 13, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wagala kwa uongo, lini yesu alisema maneno hayo!?
   
 5. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Watu 64 akiwemo Mmarekani mmoja? Jamani hivi Mmarekani siyo mtu au ndiyo tuaambiwa kuwa Mmarekani ni special kuliko watu wengine. Ninaaudhika sana na uandishi huu wa kikasuku. Wamarekani wanaweza kujiona kuwa wao ni special na wakaandika kwa mtindo huo. Lakini ni lazima na sisi tuwe mwangwi wao?
   
 6. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nukuu please,.ili .iwe na faida kwa pande zote za dini,...
   
Loading...