Video:Maalim Seif akinukisha, amjibu Naibu waziri Masauni, asema yeye hazuiliki atafanya popote

Kinachotakiwa kufanywa na Maalim ni kutuma watu katika miji ya Mtwara Lindi na Bagamoyo kabla ya uchaguzi mkuu ujao

Ili akathibitishie jinsi washenzi wanavyokusanya watu na kuwapeleka Zanzibar kwenda kupiga kura.

Kudocument kila kitu ili UN EU UK wapate nakala

Mimi nayasema haya kwasababu nilikuwa kwenye Chama cha washenzi kabla kuomba toba kutoka kwa Mwenyezi Mungu
Na tulikuwa tunahusika kwenye huu ushenzi
UN, AU, UK wakipata nakala wafanyeje? Kwani hukumbuki Maalim Seif alifungua kesi huko Ulaya baada ya uchaguzi wa Zanzibar, iliishia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu mzee ndio maana nyereree.alimwambia hatakaa apate urais zanzibar kama akiendelea na ubaguz wake wa wapemba na.waunguja

Pumba tu maana wabaguzi ni wale waliogoma kumpa uraisi kwasababu ni mpinzani ingawa ameshinda mara nyingi tu zaidi ya miaka 15. Hata jumuia za kimataifa zinajua hili
 
UN, AU, UK wakipata nakala wafanyeje? Kwani hukumbuki Maalim Seif alifungua kesi huko Ulaya baada ya uchaguzi wa Zanzibar, iliishia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu hawana haraka , siku ikifika wakiona masilahi yao yanaingia hatarini wanaanza kuyafungua makabrasha na kukinukisha. Wanaowapa fursa wazungu ni CCM kwa kudhani huo uchafu wao wanatengeneza nchi kumbe wanawapa fursa wazungu
 
UN, AU, UK wakipata nakala wafanyeje? Kwani hukumbuki Maalim Seif alifungua kesi huko Ulaya baada ya uchaguzi wa Zanzibar, iliishia wapi?
Vikwazo kama vile vya Iran vitafuatia shilingi itashuka thamani hiyo bando itakuwa unanunua kwa kapu la noti

Viongozi wa Serikali watawekwa kwenye listi ya kutosafiri

Meli za mafuta zitakata kuleta mafuta utawala wenu wa kibabe utaporomoka mikopo itapigwa biti no more mindless spending

Wewe njaa ikisha kuingia utaingia barabarani ukidai maisha magumu utapiamlo utaingia zahanati zitakosa dawa ARV zitakuwa haziji

Makaburi yatatapakaa kila kona ndipo akili na jeuri yako itakaposinyaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachotakiwa kufanywa na Maalim ni kutuma watu katika miji ya Mtwara Lindi na Bagamoyo kabla ya uchaguzi mkuu ujao

Ili akathibitishie jinsi washenzi wanavyokusanya watu na kuwapeleka Zanzibar kwenda kupiga kura.

Kudocument kila kitu ili UN EU UK wapate nakala

Mimi nayasema haya kwasababu nilikuwa kwenye Chama cha washenzi kabla kuomba toba kutoka kwa Mwenyezi Mungu
Na tulikuwa tunahusika kwenye huu ushenzi
Kuna jamaa mmoja yupo Tanga alielezea kwa kina jinsi walivyosafirishwa toka Tanga mpaka Zenji kwenda kushiriki kwenye ushenzi wa kutick karatasi za uchaguzi kwa wagombea wa hiki chama cha Mambumbu. Hiyo hata haoa kwetu 2015 ilifanyika.

Kwa kanda yetu pendwa ilifanyika usiku wa tarehe 14 kwenye ukumbi wa ile shule inayomilikiwa na meya.
 
Kitu kikubwa ni kwamba Zanzibar sio Nchi ya mwarabu wala chotara

Aishi kwa kufuata sheria za Tanzania
Ndio shida umekwenda Zanzibar ukalewa ukaangusha gari watu wakafanya yao ulipoamka ukakuta mahamali wa forodhani wameshafanya yao basi tokea siku hiyo unachukia Wazanzibari
 
Kaporwa ushindi mara 3 mara ya 4 akakubali kuwa makamo wa rais wa kwanza,kwann alikubali wkt washamuibia mara 3,

ni kosa kubwa kususia ile nafasi adhimu mkuu,ingekua ni moja ya ngazi ya kutoboa kwa sababu alikua anaouwezo wa kunusa mambo ndani ya ccm na smz,
ifike wkt hata wapinzani wawe na intelijensia,kuitoa ccm bila kuwa na mikakati haiwezekani mkuu

Ulitaka aungane na wezi waliomwibia sio kura tu bali haki aliyopewa na wananchi waliomchaguwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaporwa ushindi mara 3 mara ya 4 akakubali kuwa makamo wa rais wa kwanza,kwann alikubali wkt washamuibia mara 3,

ni kosa kubwa kususia ile nafasi adhimu mkuu,ingekua ni moja ya ngazi ya kutoboa kwa sababu alikua anaouwezo wa kunusa mambo ndani ya ccm na smz,
ifike wkt hata wapinzani wawe na intelijensia,kuitoa ccm bila kuwa na mikakati haiwezekani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kila mtu anajua mikakati ya CCM ni kutumia vyombo vya dola. Hivyo vyombo vya dola navyo vimechoka kunyanyasa ndugu ,watoto ,wazee na jamaa zao. Sio siri nimewasikia wengi wengine wana vyeo vya juu . Ni wakati tu aliouandika Mola haujafika. Yalotokea Sudan yako njiani . Nchi yote imeoza. Bara na visiwani
 
Ushindi wa Maalim Act wazalendo uko dhahiri kilichobakia ni muda tu.
 
Back
Top Bottom