Video:Maalim Seif akinukisha, amjibu Naibu waziri Masauni, asema yeye hazuiliki atafanya popote

Maalim seif akili zake azina akili
Anafanya siasa Zanzibar kwa kipindi hiki yeye ni kama nani?
haba cheo chochote pale ACT zaid ya kuitwa mshauri wa chama kama mzee makamba

Anafanyaje siasa Zanzibar wakati ACT haina hata diwani mmoja usema ni mkutano wa diwani Mm nilialikwa.
Yule mzee seif kama sio chizi basi anakalbia uchizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachotakiwa kufanywa na Maalim ni kutuma watu katika miji ya Mtwara Lindi Bagamoyo na Tanga kabla ya uchaguzi mkuu ujao

Ili akathibitishie jinsi washenzi wanavyokusanya watu na kuwapeleka Zanzibar kwenda kupiga kura.

Kudocument kila kitu ili UN EU UK wapate nakala

Mimi nayasema haya kwasababu nilikuwa kwenye Chama cha washenzi kabla kuomba toba kutoka kwa Mwenyezi Mungu
Na tulikuwa tunahusika kwenye huu ushenzi
 
Maalim seif akili zake azina akili
Anafanya siasa Zanzibar kwa kipindi hiki yeye ni kama nani?
haba cheo chochote pale ACT zaid ya kuitwa mshauri wa chama kama mzee makamba

Anafanyaje siasa Zanzibar wakati ACT haina hata diwani mmoja usema ni mkutano wa diwani Mm nilialikwa.
Yule mzee seif kama sio chizi basi anakalbia uchizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Matope
 
Kinachotakiwa kufanywa na Maalim ni kutuma watu katika miji ya Mtwara lindi na Bagamoyo kabla ya uchaguzi mkuu ujao

Ili akathibitishie jinsi washenzi wanavyokusanya watu na kuwapeleka Zanzibzar kwenda kupiga kura.

Kidocument kila kitu ili UN EU UK wapate nakala

Mimi nayasema haya kwasababu nilikuwa kwenye Chama cha washenzi kabla kuomba toba kutoka kwa Mwenyezi Mungu
Na tulikuwa tunahusika kwenye huu ushenzi
MSHENZI NI MSHENZI TU na jasiri haachi asili!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maalim seif ameanza tena ubaguzi wake

Kwani masauni hawezi kuwa Rais wa Zanzibar !
Yeye ndiye mpiga kura?

Nimemdharau sana huyu Mzee
 
Maalim seif akili zake azina akili
Anafanya siasa Zanzibar kwa kipindi hiki yeye ni kama nani?
haba cheo chochote pale ACT zaid ya kuitwa mshauri wa chama kama mzee makamba

Anafanyaje siasa Zanzibar wakati ACT haina hata diwani mmoja usema ni mkutano wa diwani Mm nilialikwa.
Yule mzee seif kama sio chizi basi anakalbia uchizi

Sent using Jamii Forums mobile app
acha jazba za kike.
 
Ndio kashasema unamaoni gani juu yake?

Hayo ya kuweka mkwala fanyieni huko kwenu tanganyika.
Kwani katiba imekataza watu wasifanye mikutano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maalim seif ameanza tena ubaguzi wake

Kwani masauni hawezi kuwa Rais wa Zanzibar !
Yeye ndiye mpiga kura?

Nimemdharau sana huyu Mzee
huyu mzee ndio maana nyereree.alimwambia hatakaa apate urais zanzibar kama akiendelea na ubaguz wake wa wapemba na.waunguja
 
Maalim seif hawezi kuwa kiongozi wa Zanzibar hata dunia igeuke
2016-01-28T094454Z_1964124949_GF10000287615_RTRMADP_3_WARCRIMES-IVORYCOAST_0_0.jpg

Huyu ni Lurent Bagbo aliwahi kusema kuwa hawezi kuiachia kiti hata dunia igeuke

Leo ni mfungwa kwenye mahakama huko the Hague muangalie sura yake ilivyojaa majuto
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom