Video:Maalim Seif akinukisha, amjibu Naibu waziri Masauni, asema yeye hazuiliki atafanya popote

Maalim seif akili zake azina akili
Anafanya siasa Zanzibar kwa kipindi hiki yeye ni kama nani?
haba cheo chochote pale ACT zaid ya kuitwa mshauri wa chama kama mzee makamba

Anafanyaje siasa Zanzibar wakati ACT haina hata diwani mmoja usema ni mkutano wa diwani Mm nilialikwa.
Yule mzee seif kama sio chizi basi anakalbia uchizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza kuandika? Haya kakande matope.
 
Machotara hawana chao Zanzibar, wasubiri karne ya miamoja
Na wewe unafanya kitu gani? Nyinyi ndio baada ya kukaribishwa vizuri ,Zanzibar kutoka Tanganyika, mkapewa elimu bure, kazi , mkaleta ushenzi wenu
 
Kitu kikubwa ni kwamba Zanzibar sio Nchi ya mwarabu wala chotara

Aishi kwa kufuata sheria za Tanzania
Na wewe unafanya kitu gani? Nyinyi ndio baada ya kukaribishwa vizuri ,Zanzibar kutoka Tanganyika, mkapewa elimu bure, kazi , mkaleta ushenzi wenu
 
Maalim seif ni taasisi,sio mwanasiasa wa kawaida,watu wana fedha,dola ,mabomu na miznga lakini wameshinda kuushawishi umma wa Zanzibar usimuamini maalim Seif.
Huyu mzee naamini 2020 atawaongoza wazanzibar akiwa Rais wa Zanzibar na atawaletea maendeleo makubwa kwakuwa watamuunga mkono na watakuwa tayari kujitolea

Zanzibar itakuwa Dubai ya Africa Mashariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kikubwa ni kwamba Zanzibar sio Nchi ya mwarabu wala chotara

Aishi kwa kufuata sheria za Tanzania

Ulisahau kuwa wala Zanzibar si nchi ya mvamizi Tanganyika.
Aishi kwa kufuata sheria za Tanganyika au Sheria za Zanzibar ?
Mahakama imeshatoa amri ya kumruhusu unataka afuate amri ya mkoloni ??
 
Back
Top Bottom