Video:Maalim Seif akinukisha, amjibu Naibu waziri Masauni, asema yeye hazuiliki atafanya popote

Maalim seif akili zake azina akili
Anafanya siasa Zanzibar kwa kipindi hiki yeye ni kama nani?
haba cheo chochote pale ACT zaid ya kuitwa mshauri wa chama kama mzee makamba

Anafanyaje siasa Zanzibar wakati ACT haina hata diwani mmoja usema ni mkutano wa diwani Mm nilialikwa.
Yule mzee seif kama sio chizi basi anakalbia uchizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Watanzania ni wagumu sana kuelewa hata kufahamu. Sheria ya Vyama vya siasa inatoa Fursa kwa Chama chochote chenye usajili kufanya mikutano na maandamano baada ya kutoa taarifa Polisi masaa 24 kabla na sio ka kauli ya WAZIRI au RAIS. Hivyo basi hiyo ya kua na diwani kama ulivyo kariri ni kauli na ushauri wa Mh. RAIS lakini sio matakwa ya sheria. Zanzibar Rais wao hana shida na utekelezaji wa Sheria hii ndio maana unaona Maalim anaendelea tu na ziara zake kisheria yuko sahihii ila kisiasa hasa za huku kwetu bara ndio hilo awe na Diwani au Mbunge na kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya au Mkoa. Nadhani umeelewa KADA mwenzangu.
 
Kinachotakiwa kufanywa na Maalim ni kutuma watu katika miji ya Mtwara Lindi na Bagamoyo kabla ya uchaguzi mkuu ujao

Ili akathibitishie jinsi washenzi wanavyokusanya watu na kuwapeleka Zanzibar kwenda kupiga kura.

Kudocument kila kitu ili UN EU UK wapate nakala

Mimi nayasema haya kwasababu nilikuwa kwenye Chama cha washenzi kabla kuomba toba kutoka kwa Mwenyezi Mungu
Na tulikuwa tunahusika kwenye huu ushenzi
Mungu akusamehe makosa yako na aendelee kukuongoa kwenye njia ya haki!
 
Akiongea katika mikutano yake ya ndani maalim seif asema masauni amefanya ushenz wa hali ya juu, adai kwanini hakuzuiwa bashiru, adai masauni anajipendekeza anataka urais wa zanzibar haupati ng’oo.. link👇

Kina-Mbowe jifunzeni siasa kutoka kwa Maalim Seif,
Kule bara ndio mna mass kubwa sana ya watanzania mnaogopa nini?
Juzi nimekuoneni mkiomba poo kwa Rais inasikitisha sana sana emu jikazeni angalau mfikie hatua japo nusu ya maalim seif
 
Maalim seif akili zake azina akili
Anafanya siasa Zanzibar kwa kipindi hiki yeye ni kama nani?
haba cheo chochote pale ACT zaid ya kuitwa mshauri wa chama kama mzee makamba

Anafanyaje siasa Zanzibar wakati ACT haina hata diwani mmoja usema ni mkutano wa diwani Mm nilialikwa.
Yule mzee seif kama sio chizi basi anakalbia uchizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Maalim Seif keshafanya mikutano.mingi tu Tanzania Bara na hajakamatwa?
 
Masauni ambe-mboost maalim seif na amem-boost mbali sana huyu jamaa ilikuwa aachwe hivi hivi sasa Naibu waziri ni kama ameliamsha dude.

Iam telling you saivi huyu maalim ni none stop mpaka 2020 wazanzibar wanamkubali kinyama.
 
Huyo Maalim seif umemjua leo yeye kazi yake kuwarubuni wapemba waendelee kuwa mafukara
Hana jema
Kina-Mbowe jifunzeni siasa kutoka kwa Maalim Seif,
Kule bara ndio mna mass kubwa sana ya watanzania mnaogopa nini?
Juzi nimekuoneni mkiomba poo kwa Rais inasikitisha sana sana emu jikazeni angalau mfikie hatua japo nusu ya maalim seif
 
Umoja wa Washenzi Dk Bashiru na Prof Lipumba Wamepanga Mauaji ya kutisha dhidi ya wafuasi waAct wazalendo

Wamepeleka mswaada kwenye Baraza ili Maalim aenguliwe kugombania Urais hiyo ni Plani ya kwanza

Plani ya pili wanajua wafuasi wa Act wazalendo wataandamana na kudai haki ya kurejeshwa kwa Maalim

Plani ya tatu ni Kuanza mauaji ya halaiki dhidi ya wafuasi wa Act wazalendo

Baada ya mauaji dhidi ya wafuasi wa Actwazalendo lipumba ameahidiwa kukabidhiwa ofisi zote za Actwazalendo
 
Maalim seif akili zake azina akili
Anafanya siasa Zanzibar kwa kipindi hiki yeye ni kama nani?
haba cheo chochote pale ACT zaid ya kuitwa mshauri wa chama kama mzee makamba

Anafanyaje siasa Zanzibar wakati ACT haina hata diwani mmoja usema ni mkutano wa diwani Mm nilialikwa.
Yule mzee seif kama sio chizi basi anakalbia uchizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Maalim Seif ndio yuko katika mbio za kutafuta kile ACT-wazalenzo kimekosa Pemba..

Yeye ni mshauri kama ulivyosema nafikiri yuko Pemba, kuwashauri Wapemba vipi kuwabana CCM..

Masauni kapanik..
 
Maalim seif akili zake azina akili
Anafanya siasa Zanzibar kwa kipindi hiki yeye ni kama nani?
haba cheo chochote pale ACT zaid ya kuitwa mshauri wa chama kama mzee makamba

Anafanyaje siasa Zanzibar wakati ACT haina hata diwani mmoja usema ni mkutano wa diwani Mm nilialikwa.
Yule mzee seif kama sio chizi basi anakalbia uchizi

Sent using Jamii Forums mobile app
yawezekana ni chizi kama JPM hajui tofauti kati ya iraq na kuwait
 
Majahazi mengine yaliyojaa Wahuni ambayo yamekodiwa na Dakta Bashiru yameng'oa nanga kwenda Visiwani kufanya vurugu na mauwaji dhidi Wananchi ushahidi huu hapa
👇
 
Back
Top Bottom