Video: Maafisa wa Tume ya Uchaguzi Uganda wakiwa wanatiki kwenye karatasi ya kupiga kura

Video: Maafisa wa Tume ya Uchaguzi Uganda wakiwa wanatiki kwenye karatasi ya kupiga kura

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Masaa baada ya Rais Yoweri Museveni kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Januari 15 kwa kupata asilimia 71.65 ya kura, kiongozi wa upinzani Bobi Wine ameweka video fupi kwenye X ikidai kuonyesha maafisa wa Tume ya Uchaguzi wakiwa wamevaa vesti za NRM wakiandaa karatasi za kupigia kura kwa Museveni katika kituo cha kupigia kura vijijini magharibi mwa Uganda.


 
Back
Top Bottom