Uzalendo kwanza
Member
- Aug 12, 2015
- 56
- 23
Kaomba za walutheri eeh? Aje aombe na za wapentekoste, wenye kelele wazidi kupiga kelele
Watanznia kipande cha video kinacho sambazwa kikimwomesha LOWASSA eti akiomba kura Kanisani siyo kweli hiyo ni propaganda ya ccm kupitia Polepole ambaye alitengeneza video hiyo na kuisambaza hara kwenye video , ukiisikiliza vizuri utasikia sauti mbili , kunatarifa kuwa chama kinafanya mkakati ili kimfungulie mashaka ya kutengeza video ya uchochezi , ikumbukwe kuwa video kama hii ilisha wahi kutengenezwa ikimwonesha Afisa ulinzi Wa chadema Rwakatale eti akipanga ugaidi baada ya kufuatilia ikagundulika ni video ya kutengenezwa ni lazima sote tupuuze propaganda za ccm , awali walikuja na ufisadi ,ukanda, ugonja vyote vikashindwa sasa wametingeneza video kupitia Hamfrey polepole na kuisambaza wakati huohuo wamepanga , vyombo vya habari na magazeti ya ccm yaandike haraka hizo habari, hizo ni propaganda ni lazima wapuuzwe na ccm tunawaonya kuwa kutafuta kura kwakuleta udini au ukanda hafai hiyo ni dhambi itakayo wameza,MAGAZETI YALIO ANDIKA YOTE NI YA CCM NA YOTE YANA KICHWA KIMOJA CHA HABARI,HIVYO WALIPANGA TUNAJUA SILAHA CCM WALIO BAKI NAYO NI KUTUMIA UDINI KITU AMBACHO HAWATAFANIKIAWA