Video: Kwa hili sijamuelewa Askofu Gwajima

Katika video hapo chini ASKOFU mkuu makanisa ya ufufuo na uzima anaonekana akitoa sauti zisizoeleweka ambazo mim kama muumini wa dini ya kikristo SIJAMUELEWA alichojaribu kumaanisha.

Naomba ufafanuzi.

View attachment 1870438
Gwajima alikuwa akiongea na familia yake, alikuwa kaiongea na marafiki zake, alikuwa akiongea na watu wake. Hao aliokuwa akiongea nao walimwelewa. Hiyo ni lugha ya kwao wewe kama si mmoja wao huwezi kuielewa.
 
Mmeanza kujitokeza ..HIV Yale mauno yake kama papa wemba hua unayaelewa pia?
 
Back
Top Bottom