VIDEO: Kilichotokea Chuo cha Uhasibu Arusha, Lema alivyowatuliza wanachuo

Yaani hadi inaudhi kuwa na kiongozi kama huyu hajui hata anachokifanya, yaani hajitambui hata alifanyalo sasa kusema kua hakuna kipaza sauti hawezi kuongea na wanafunzi kwani mbunge alikua anatumia nini. Hii ndio type ya watu waliokariri namna ya utendaji kazi hawajui hata kutumia mbinu mbadala. Sijui kwanini yupo madarakani hadi sasa, mtu akisema anaambiwa ni mpinzani jamani hata mambo yaliyo bayana tusihoji kisa tutaambiwa wapinzani. Nanyi maaskari kwanini mnafanya hivi hebu waoneeni huruma binadamu wenzenu msitumie jazba kumbukeni mambo haya yanamwisho. Muda ukifika haki itakaposimama mtaona mnaonewa pale mtakapokua mnapelekwa mbele ya sheria ndugu zangu. Mbona mnaweza tu kutuliza fujo kistaarabu sio lazima kutumia mabavu acheni hizo bwana.
 
Wenzako wote video haifunguki wewe umeibuka na kutema kauli zako tata!! na mapovu tu humu. Au umetumwa? Mbona hueleweki? Kuwa serious ndugu acha uongo..Huku ni kwa Magreat thinker. Uongo peleka facebook sio humu..Au wewe una link yako nyumbani.?

Usimhukumu, video inafunguka bila shida.
 

mkuu lukolo hayo maneno aliyoyasema lema ilikuwa kwa niaba ya mkuu wa mkoa si ndiyo?au alimpakazia?busara ya lema kutoyasema ingeenda sambamba na busara ya magesa kutokuyasema
 
Hata ile picha ya mwangosi isingekuwepo, Chadema wangebebeshwa mzigo wa kuua kwa kutumia kitu kizito chenye ncha kali.
 
Inafunguka vyema video hiyo maana nimeifungua bila matatizo. Yawezakuwa net zenu ziko down ndio maana zinagoma. Kwa hapa nimetumia airtel na nzantel
 
Nimesikiliza na kuangalia both videos!....Muh Lema na Mkuu wa Mkoa. My analysis: Lema hajaongea neno lolote baya zaidi ya kuwa advise wanafunzi kutokuandamana na badala yake wadai haki yao ya msingi kwa busara zaidi. Sijasikia neno la uchochezi hata moja. Ningekuwa mkuu wa Mkoa, ningekuwa na Lema kwa karibu zaidi na kutoa ushirikiano wa nguvu ili kuweza kusolve tatizo lililojitokeza. My analysis kwa upande wa mkuu wa Mkoa ni kwamba, alionekana kapanic na kuwa na hasira sana na ndio maana alishindwa kuongea. Alikuwa pia anatumia ubabe. That wasn't the right way to tackle the problem. Ni vyema tukajifunza ''Conflict management'' hasa viongozi wote na hilo litasaidia kupata right approaches to problems. yangu hayo
 
watakufa wangapi sasa,maana naona kama unachochea machafuko.
 
hivi umeona kipindi lema anawahutubia hao wanafunzi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…