Mh,MUNGU tusaidie.Mambo ya taarabu ya Rais huyu anasema na Rais yule anajibu yanaweza kuleta madhara kwa wasiohusika.Idd Amin (DADA) aligharimu maisha na kubadirisha kabisa historia yetu na uganda.vita mnapigana na kuzaa vilema,wajane,yatima na kuzalisha masikini wengi na watu wengine kufanya biashara.Maneno hayaui,ache aseme basi muda wake ukiisha atatoka tu.
Hii video siyo mpya, ina muda kidogo.Mh,MUNGU tusaidie.Mambo ya taarabu ya Rais huyu anasema na Rais yule anajibu yanaweza kuleta madhara kwa wasiohusika.Idd Amin (DADA) aligharimu maisha na kubadirisha kabisa historia yetu na uganda.vita mnapigana na kuzaa vilema,wajane,yatima na kuzalisha masikini wengi na watu wengine kufanya biashara.Maneno hayaui,ache aseme basi muda wake ukiisha atatoka tu.
we angalia hao maofisa wawili wa kizungu na mmoja wa jwtz wanavyomwangalia ... @6:32
UN nao mabwege sana bana..issue ya DRC ya miaka kibao wanahangaika tu ku deal nayo maana yake nini
Wataalamu wa uchambuzi wa mambo zichambueni hizi kauli za Kagame.
Nani alikuambia wahutu hawana haki Rwanda au FDLR wanapigania haki za wahutu?na habyarimana hakuuwawa na kina Kagame(France expert report) so acha uwongo,na hujui hata Ntaganda yuko wapi? Habyarimana alikubali kuoingea baada ya kupoteza nusu ya nchi na kuelekea kushinda alikuwa hana choice...you are just bias and clueless!Mi naona ni Mlevi moja tu anaongea bila kuweka facts na background ya kutosha.
1. Bosco Ntaganda yupo wapi kwa sasa?
2. Kuna mwingine Laurent Nkunda naye yupo Rwanda.
3. Mwl kabla ya Kufariki na Juvenali Habyerimana Kiongozi wa Rwanda Arusha alikuwa anatoka kufanya Nini? mbona Habyerimana alilazimishwa kuongealea tatizo la Watusi? na Kikwete wakati huo alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Nje.
Sasa wao mbona hawataki kuzungumzia Haki za Wahutu?
4.Kuhusu nchi jirani kuwahifadhi negative forces kama wanavyo watuhumu DRC, mbona na wao walitokea Uganda, Basi leo hii tuwalaumu waganda?
5. Je wahutu walio wengi lini watapata haki zao Rwanda, au wao ni kutawaliwa tu? na hao waliokimbilia DRC iwe FDR wao hawa ruhusiwi kupigania haki za watu wao? au hii label ya kuhusika na Genocide ndio inayo wazui wasifanye hivyo. Nbona wao walimuua Habyerimana ndio ikapelekea hayo Mauwaji? mbona wao hawajisalimishi?
Mkuu mhabarishe huyo jamaa maana yeye sio mzalendo kabisa, hasa kwenye mambo haya yeye ataleta Siasa na upinzani wa kila kitu, PK wao sasa kanywea na wanaondoka huko Biharamulo, maana kanali Massawe hacheki na wahuni hao.Nicholas rais wako mbona anawakana huku ...