VIDEO: Jionee list 10 ya magereza ya kifahari Duniani na jinsi wafungwa wanavyoishi

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,369
8,072
10 Gereza la Wandsworth, London Uingereza

ImageUploadedByJamiiForums1462885709.308962.jpg

9 Gereza la Onomichi, Japan

ImageUploadedByJamiiForums1462885732.024357.jpg

8 Gereza la Santa Ana, Califonia, USA

ImageUploadedByJamiiForums1462885749.708587.jpg

7 Gereza la San Antonio, Venezuela

ImageUploadedByJamiiForums1462885784.062624.jpg

6 Gereza la Aranjuez, Spain

ImageUploadedByJamiiForums1462885856.934405.jpg

5 Justice Centre, Austria

ImageUploadedByJamiiForums1462885876.089553.jpg

4 Gereza la HMP Addiewell, United Kingdom

ImageUploadedByJamiiForums1462885899.455275.jpg

3 Gereza la Qincheng, China

ImageUploadedByJamiiForums1462885993.729133.jpg

2 Gereza la Bastoy, Norway

ImageUploadedByJamiiForums1462885973.410789.jpg

1 Gereza la Halden, Norway

ImageUploadedByJamiiForums1462885952.892272.jpg

cheki video hapo chini
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1462885824.848116.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1462885824.848116.jpg
    11 KB · Views: 99
Hakuna kitu kibaya kwa wazungu kama utumwa na ufungwa. Hta kama gereza ni zuri hakuna mtu anayependa kwenda huko. Unaweza kidhani watu wanajipeleka. Ila ukija kwenye suala la UHURU , gerezani sio kuzuri hata kama utaenda na Mke wako
 
Wazungu wamesha-advance kimaisha ndo maAna inakuwa kero,,,Ila maisha kwenye jela hizo ni nafuu kuliko kuish hostel za mabibo za UDSM,,#just 4 fun##
 
Not only kwa wazungu mkuu. Ni dunia nzima , gerezani siyo kuzuri sema ndio hivyo unajikuta ushaenda tu. Freedom ni kila kitu maishani hata ulale njaa ukiwa huru is something else.
Hakuna kitu kibaya kwa wazungu kama utumwa na ufungwa. Hta kama gereza ni zuri hakuna mtu anayependa kwenda huko. Unaweza kidhani watu wanajipeleka. Ila ukija kwenye suala la UHURU , gerezani sio kuzuri hata kama utaenda na Mke wako
 
Ila wadau hilo no 5 kama makao makuu ya wizara flani hiviiiii!!!!
 
Asikudanganye mtu, uhuru ni kitu muhimu sana.

Kitendo caha kukosa uhuru, kupangiwa muda wa kulala na kuamka, kupangiwa muda wa kula, kupangiwa muda wa kuonana na ndugu, familia, marafiki (ambayo si kila siku, ni kutokana na na sheria za hilo gereza husika, wengine mara mbili kwa wiki, wengine mara moja kwa wiki, wengine siku zisizokuwa za kufanya kazi, ikiwemo na sikukuu yoyote ambayo inatambulika kikalenda).

Kulazimishwa kuvaa sare, kuhesabiwa mara kwa mara kwa siku.

Machache niliyoyataja, yote ni kukosa uhuru.

Kwahiyo pande mbovu hata ziwe za kifahari kiasi gani.

Ukweli unabaki pale pale, kukosa uhuru
 
Not only kwa wazungu mkuu. Ni dunia nzima , gerezani siyo kuzuri sema ndio hivyo unajikuta ushaenda tu. Freedom ni kila kitu maishani hata ulale njaa ukiwa huru is something else.
Ni kweli, nimesema hivylo kutokana na mawazo ya watu. Ndio maana nikasema hivyo
 
Hilo la Japan ni noma yani askari kapiga suti ya ukweli utadhani anajiandaa kwenda kuapishwa kuwa rais wa nji!
 
Naona yatakuwa ni magereza ya kifahari kwa ajili ya wafungwa waliokuwa wakiishi maisha ya kifahari uraiani. Sidhani kama yanachukua wafungwa mafala wanaoishi maishi ya kilofa.
 
Back
Top Bottom