Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,231
- 7,513
Man u shida sio kocha man u inabidi ifukuze kikosi kizima waanze kusuka upya wale madogo hawatotupeleka popote, msimu huu hata Europa hatuendiBora simba...man utd ndio hovyo kabisa wanashika mkia huko. Jana kocha anahojiwa unaona yupo hoi. Sasa naona reality ya the task at hand imeanza ku sink in
Huu ni msimu mwingine yanga anaenda kua un beaten tenaPole mkuu hauko peke yako, binafsi Man utd wamenihudhunisha mno, but nimefarijika kwa Mamelodi Sundowns kuwafunga kaizer 4-0,Yanga kuibuka na 2-1 dhidi ya msimbazi!,kunywa maji mengi mkuu changanya na 🍋
Fukuza team nzima, Young African SC walishawahi kufukuza team nzima (wakahamia Nyota pale morogoro),hawa wachezaji wa sasa wote ni mamlukiMan u shida sio kocha man u inabidi ifukuze kikosi kizima waanze kusuka upya wale madogo hawatotupeleka popote, msimu huu hata Europa hatuendi
Hawana uwezo wa kuipambania timu tenaFukuza team nzima, Young African SC walishawahi kufukuza team nzima (wakahamia Nyota pale morogoro),hawa wachezaji wa sasa wote ni mamluki
Pumzika tu haina namna maana mpira ni mchezo wa kushangaza sana unaweza ukaingia matokeo yako mfukoni ukiwa uwanjani mwisho wa mchezo filimbi inapulizwa ukaishia kupigwa na butwaa kwa kile unachokiona uwanjani huku Man U kafa 4-0 na huku Simba kafa 2-1 kwa comeback za MayeleKweli Mimi ni wa kulizwa kweli kisa ushabiki? Watoto wangu watanionaje huko mbeleni? Nimepigiwa simu kutoka pande za dunia wakinipa pole.
Kwelii man utd na simba mmefikia huko? Kweli simba hile ni timu ambayo inajinasibu kufika Mbali CCL Kweli?
Simba ambayo sasa haina sauti kwa yanga yani sisi ni dhaifu kwa yanga? Au hawa viongozi hawaoni umuhimu wa derby Kama wazee wetu walivyokua wanaichukulia hii derby?...
Huu ni msimu yanga anaenda kua un beaten tena maana simba hawajielewi na hawako serious, una shida na namba sita unaenda kumchukua akpan kweli?
Unaacha kusajili wachezaji unatuletea magarasa ambayo hata Mimi nayazidi? Unamtoa kagere unamleta kyombo ambae hajawai kufikisha magoli 6 ndio acheze namba yake?.
Hivi kweli mzamiru ni mchezaji?
Itabidi Nikae pembeni kwa muda kufatilia hizi timu nijikite kwenye sala.
Hivi wana deportivo la utopolo mliwezaje kuvumilia miaka 4 hivi?
Hapa shida ni uongozi wachezaji wanakuja tu wanavyohitajika, uongozi ndio wakupiga chini ukifatiwa na wachezaji ambao sio level ya SimbaFukuza team nzima, Young African SC walishawahi kufukuza team nzima (wakahamia Nyota pale morogoro),hawa wachezaji wa sasa wote ni mamluki
Lakini kinachoumiza zaidi kwa wana simba ni uzembe tu wa kocha baada ya watu kuona kikosi walianza kutukana.Pumzika tu haina namna maana mpira ni mchezo wa kushangaza sana unaweza ukaingia matokeo yako mfukoni ukiwa uwanjani mwisho wa mchezo filimbi inapulizwa ukaishia kupigwa na butwaa kwa kile unachokiona uwanjani huku Man U kafa 4-0 na huku Simba kafa 2-1 kwa comeback za Mayele
Pole...
Simba tulipofikia siyo ya kumtegemea tena mzamiru,kyombo,dejan na wengine wengi ety waje wabadilishe matokeo kweli?Hapa shida ni uongozi wachezaji wanakuja tu wanavyohitajika, uongozi ndio wakupiga chini ukifatiwa na wachezaji ambao sio level ya Simba
Kocha wenu wa simba aliiga alivyomuona Proffesa Nabi kafanya sub nae akaiga kumbe akawa ameingia kwenye mfumo wa Proffesa hapo tukaanza kuiona yanga ileeeeee[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Kweli Mimi ni wa kulizwa kweli kisa ushabiki? Watoto wangu watanionaje huko mbeleni? Nimepigiwa simu kutoka pande za dunia wakinipa pole.
Kwelii man utd na simba mmefikia huko? Kweli simba hile ni timu ambayo inajinasibu kufika Mbali CCL Kweli?
Simba ambayo sasa haina sauti kwa yanga yani sisi ni dhaifu kwa yanga? Au hawa viongozi hawaoni umuhimu wa derby Kama wazee wetu walivyokua wanaichukulia hii derby?...
Huu ni msimu yanga anaenda kua un beaten tena maana simba hawajielewi na hawako serious, una shida na namba sita unaenda kumchukua akpan kweli?
Unaacha kusajili wachezaji unatuletea magarasa ambayo hata Mimi nayazidi? Unamtoa kagere unamleta kyombo ambae hajawai kufikisha magoli 6 ndio acheze namba yake?.
Hivi kweli mzamiru ni mchezaji?
Itabidi Nikae pembeni kwa muda kufatilia hizi timu nijikite kwenye sala.
Hivi wana deportivo la utopolo mliwezaje kuvumilia miaka 4 hivi?
Pole sana KOLO ULIBWANJIKweli Mimi ni wa kulizwa kweli kisa ushabiki? Watoto wangu watanionaje huko mbeleni? Nimepigiwa simu kutoka pande za dunia wakinipa pole.
Kwelii man utd na simba mmefikia huko? Kweli simba hile ni timu ambayo inajinasibu kufika Mbali CCL Kweli?
Simba ambayo sasa haina sauti kwa yanga yani sisi ni dhaifu kwa yanga? Au hawa viongozi hawaoni umuhimu wa derby Kama wazee wetu walivyokua wanaichukulia hii derby?...
Huu ni msimu yanga anaenda kua un beaten tena maana simba hawajielewi na hawako serious, una shida na namba sita unaenda kumchukua akpan kweli?
Unaacha kusajili wachezaji unatuletea magarasa ambayo hata Mimi nayazidi? Unamtoa kagere unamleta kyombo ambae hajawai kufikisha magoli 6 ndio acheze namba yake?.
Hivi kweli mzamiru ni mchezaji?
Itabidi Nikae pembeni kwa muda kufatilia hizi timu nijikite kwenye sala.
Hivi wana deportivo la utopolo mliwezaje kuvumilia miaka 4 hivi?
View attachment 2323495
Hahaaaaa, thithi is thimbaa,# gubu moya#thi tulikubaliana thithi thimba ni wa kimataifa hatuiwazii yanga..