Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 1,372
- 2,445
Hiyo ardhi wanayopigania na kufia ni yao??Kupoteza Watoto 3 kwa mpigo na Wajukuu 3 ni Jambo gumu sana lakini msijifanye hamnazo mnajua kabisa Israel ndio mvamizi katika maisha kuna muda unafika unabakia na option 2 kufa au kuwa mtumwa.Haneya kachukua ya kwanza wanae wamekufa.Sote tutakufa ila usife kitandani kwa mke wa mtu ufie nchi yako ndio akili.
nyie Tz mnaibiwa sana mnajifanya uoga hakuna uoga wa heshima kunguru muoga anaheshimika?? Eagle ni Jasiri ana heshimika.
Netenyahu nae siku zake zikifika atakufa
Kijana kama wewe kushabikia ukoloni karne hii ni mambo ya aibu sana no wonder you're Kenyan a failed state imejaa migomo, njaa, ukabila, vita,magaidi, ndio maana mnashabikia ukatili.
Hapana mkuu, kwa kesho bora ya dunia ni vyema magaida yakamalizwa kabisa.Hao viongozi wa Hamas wangeomba UN iwakutanishe na viongozi wa Israel wamalize tofauti zao na kukubaliana tuweke silaha chini tuishi kwa amani tuunde serikali moja tushirikiane na tuheshimiana kwa dini zetu bila kuchukuana. Je amani haiwezi kupatikana?
Hao ni akina nani na wameingiaje kwenye huo mzozo?Is'haka na Ismail
daaaah..... aiseee bro.... 95% ya Watanzania wenzetu wanadhani ile vita ni ya kidini....Wewe unadhani vita hivyo ni vya kidini ?
Hao ni akina nani na wameingiaje kwenye huo mzozo?
Tatizo ni magaidi wa Israel kuuwa raia wasio na silaha.
Toka 1948 waisrael wapo hapo hawajaondolewa. Utasubiri sana kusikia wapalestina wamewafukuza waisrael. Huyu Hitler sio muarabu alikua mjerumani. Na leo hii serikali za Ulaya na Marekani zimejaa wayahudi. Wa kumuondoa Israel hapo ni Marekani na Ulaya. Na cha kuongezea hata Urusi kuna wayahudi katika serikali yao. Hata Abromovich ni myahudi. Hawa watu wamejipanga sio kwamba wanaswali swala tano ili wabaki Israel.Mipango ipi? Hakuna mipango yoyote ni USA akiamua ameamua, ila siku Russia au China akisema imetosha hiyo Israel haimalizi wiki. Kama unabisha angalia tu Hitler mmoja tu ila akala vichwa million 6!! Hao palestina hawahitaji kujipanga wanahitaji kuhakikisha dikteta mmoja tu wa mashariki analeta majeshi pale, kwisha habari.
Ona Syria, mbona Israel alishindwa kumtoa Assad? Sababu ni Russia na Iran wameweka miguu!!
Serikali moja pale kwenye lile eneo haiwezekaniHao viongozi wa Hamas wangeomba UN iwakutanishe na viongozi wa Israel wamalize tofauti zao na kukubaliana tuweke silaha chini tuishi kwa amani tuunde serikali moja tushirikiane na tuheshimiana kwa dini zetu bila kuchukuana. Je amani haiwezi kupatikana?
Unavyosema Israel ndiye mvamizi unamaanisha nini,fafanua kidogo kwa kirefuKupoteza Watoto 3 kwa mpigo na Wajukuu 3 ni Jambo gumu sana lakini msijifanye hamnazo mnajua kabisa Israel ndio mvamizi katika maisha kuna muda unafika unabakia na option 2 kufa au kuwa mtumwa.Haneya kachukua ya kwanza wanae wamekufa.Sote tutakufa ila usife kitandani kwa mke wa mtu ufie nchi yako ndio akili.
nyie Tz mnaibiwa sana mnajifanya uoga hakuna uoga wa heshima kunguru muoga anaheshimika?? Eagle ni Jasiri ana heshimika.
Netenyahu nae siku zake zikifika atakufa
Wayahudi waliishi miaka almost 1000 hapo ujerumani ila Hitler alitumia miaka miwili tu kuwasafisha wote hadi wakaikimbia ulaya ndio sembuse miaka 70 hii.1948 waisrael wapo hapo hawajaondolewa. Utasubiri sana kusikia wapalestina wamewafukuza waisrael
Kwani nani kasema lazima aondolewe na muarabu? Mbona wanaotamani Israel ifutike yaani IRAN sio waarabu!! Au ndio mnadanganyana Israel inachukiwa na waarabu na waislam tu? Hapo Lebanon kuna wakristo kibao kuliko nchi zote za middle east ila ndio kila siku inawarushia makombora Israel. Uelewa wako mdogo sana kuhusu geopolitics za middle east.Huyu Hitler sio muarabu alikua mjerumani. N
So what kama ni myahudi? Mbona hao Russia ndio wanawapa silaha Iran kila siku za kuwatandika Israel kupitia Hezbollah, Houthi, na Hamas? Kingine hao Russia wanamlinda Assad dhidi ya waIsrael sasa huo uyahudi wa Abramovich umesaidia nini? Kuna watu akili zenu za kitoto sana.Na cha kuongezea hata Urusi kuna wayahudi katika serikali yao. Hata Abromovich ni myahudi.
Ulivyo mpumbavu hujui 20% ya Israel ni waislam na ndio wanaongoza kwa kuzaliana kuliko wayahudi!! Ila unaropoka utadhani Israel haina waislam..... rudi kasome historia ndio uje kuchangia.Hawa watu wamejipanga sio kwamba wanaswali swala tano ili wabaki Israel
Unadhani nini kilitokea baada ya hitler kuwapunguza ? Unadhani walikaa kimya na kuswali swala tano. Haya unasema kuna nchi nyingine itamuondoa Myahudi Israell na sio Mwarabu. Nchi gani itakuja kumuondoa myahudi Israel ? Watu wamejaa katika serikali zote za nchi zinazojielewa. Mpango wa kuanzisha Taifa la Israel ulianzishwa mwaka 1897 Theodor Herzl katika kongamano la wazayuni jijini Basel, Uswisi. Hii ilikuwa miaka 42 kabla ya WW2. Huku Ujerumani baada ya vita wamebadilisha bendera na wimbo wa taifa na wanapinga ubaguzi dhidi ya wayahudi.Wayahudi waliishi miaka almost 1000 hapo ujerumani ila Hitler alitumia miaka miwili tu kuwasafisha wote hadi wakaikimbia ulaya ndio sembuse miaka 70 hii.
Kwani nani kasema lazima aondolewe na muarabu?
Hizp silaha zimesaidia nini Hezbollah, Houthi na Hamas ? Bado wanaendelea kupigwa daily kipigo cha mbwa koko. Watu wamejiüpanga unadhani wayahudi wanashinda Madrasa ? Watu ni wataalamu katika sekta kibao na wana position katika sehemu nyingi muhimu duniani. Kuna taifa lina silaha advanced kuliko Marekani ? Yaani ule uchokozi wa Oktoba 2023 ulikuja wakati mzuri. Maana marekani ilikuwa na silaha nyingi ambazo hazitatestiwa katika combat environment. Hizo silaha zishafanyiwa majaribio katika Vita ya Ukraine. Kwa hio wasubiri kipigo..
So what kama ni myahudi? Mbona hao Russia ndio wanawapa silaha Iran kila siku za kuwatandika Israel kupitia Hezbollah, Houthi, na Hamas? Kingine hao Russia wanamlinda Assad dhidi ya waIsrael sasa huo uyahudi wa Abramovich umesaidia nini? Kuna watu akili zenu za kitoto sana.
Mimi ni mpumbavu sana. Ni kweli 20 percent ni waislamu. Wana impact gani katika serikali ya Israel na katika maamuzi ya Israel katika vita hii na wapalestina ? Mimi nimeingia hadi katika masynagogue yao nawaelewa hawa jamaa. Yaani ukipata nafasi ya kukaa nao utajifunza mengi sana.Ulivyo mpumbavu hujui 20% ya Israel ni waislam na ndio wanaongoza kwa kuzaliana kuliko wayahudi!! Ila unaropoka utadhani Israel haina waislam..... rudi kasome historia ndio uje kuchangia.
Kwani kipindi Hitler anawateketeza wayahudi kuna mtu alitarajia ujerumani ingekua na uwezo huo wakati ilikua limezoroteshwa baada ya WW 2. Muda ambao hautegemei ataibuka tu kiongozi asiyependa ujinga na utaona moto wake!! It can be anyone from Iran to China to Russia to DPRK!!Nchi gani itakuja kumuondoa myahudi Israel ?
Mbona wapo jeshini, bungeni ni waislam kabisa ila ni waisraeli na wao wanamuamini Allah ila bado wanaua waislam wenzao wa Gaza!!Mimi ni mpumbavu sana. Ni kweli 20 percent ni waislamu. Wana impact gani katika serikali ya Israel na katika maamuzi ya Israel katika vita hii na wapalestina ? Mimi nimeingia hadi katika masynagogue yao nawaelewa hawa jamaa. Yaani ukipata nafasi ya kukaa nao utajifunza mengi sana.
Ndio nakueleza kwamba kama serikali ya urusi imejaa wayahudi why iwape silaha wapinzani wa Israel? Umeona ujinga wako sasa!!Hezbollah, Houthi na Hamas ? Bado wanaendelea kupigwa daily kipigo cha mbwa koko.
Yaani watu ambao population yao ni 0.0000000000001 ya dunia ndio wapo sehemu nyingi za dunia hahahaha una utani? Kama hujui yaani billionaires 31 pekee wanamiliki uchumi sawa sawa na Nusu ya wananchi WOTE middle east!! huo utaalamu bila mtaji wa pesa utaufanyeje? Hao waarabu wanamiliki mpaka assets na klabu za mpira huko kwa waingereza na USA, hata hiyo Dp world tu ipo nchi ngapi? Mafuta ya muarabu nani hatumii dunia hii? Embu acha kukuza hao kanchi kadogo kama kigamboni.Watu ni wataalamu katika sekta kibao na wana position katika sehemu nyingi muhimu duniani
Eti uchokozi ndio maana nikasema huna unalojua? Mtu ukiwa occupied una haki ya kujikomboa sasa ulitaka watawaliwe na wakoloni alafu wakubali tu? Yaani Tanzania leo Kenya ajichukulie vijiji vya Arusha tukae kimya? Kwamba tukienda wafurusha kwenye hivyo vijiji inakua ni uchokozi? Be seriousYaani ule uchokozi wa Oktoba 2023 ulikuja wakati mzuri.