Busu la Kenge JF-Expert Member Joined Jun 13, 2025 Posts 2,310 Reaction score 4,205 Nov 25, 2025 #1 Pisi kali hiyo kwenye Video naye mikono yake imejaa damu. Hakuna huruma lazima kisasi kiwepo. Hakuna kuwaobea huruma. Your browser is not able to display this video. adriz de mbusii
Pisi kali hiyo kwenye Video naye mikono yake imejaa damu. Hakuna huruma lazima kisasi kiwepo. Hakuna kuwaobea huruma. Your browser is not able to display this video. adriz de mbusii
Busu la Kenge JF-Expert Member Joined Jun 13, 2025 Posts 2,310 Reaction score 4,205 Nov 25, 2025 Thread starter #2
naa JF-Expert Member Joined May 5, 2013 Posts 1,759 Reaction score 3,764 Nov 25, 2025 #3 Atakua mgumba huyu… huwez ukajua uchungu wa kusukuma af ukaua watoto kama mende
Busu la Kenge JF-Expert Member Joined Jun 13, 2025 Posts 2,310 Reaction score 4,205 Nov 25, 2025 Thread starter #4 WOTE WALIOHUSIKA KUUA NDUGU ZETU WATANYONGWA HADHARANI.
Keynez JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 3,620 Reaction score 6,510 Nov 25, 2025 #5 Busu la Kenge said: Pisi kali hiyo kwenye Video naye mikono yake imejaa damu. Hakuna huruma lazima kisasi kiwepo. Hakuna kuwaobea huruma. View attachment 3507334 adriz de mbusii Click to expand... Mrembo sijui pisi kali kisa umeona hilo fuko la mavi?
Busu la Kenge said: Pisi kali hiyo kwenye Video naye mikono yake imejaa damu. Hakuna huruma lazima kisasi kiwepo. Hakuna kuwaobea huruma. View attachment 3507334 adriz de mbusii Click to expand... Mrembo sijui pisi kali kisa umeona hilo fuko la mavi?
C Chifu Songea Senior Member Joined Sep 9, 2024 Posts 141 Reaction score 167 Nov 25, 2025 #6 Keynez said: Mrembo sijui pisi kali kisa umeona hilo fuko la mavi? Click to expand... Na jamaa wa jezi ya Yanga kapita mbio hapo akitoka kupora uhai wa vijana.
Keynez said: Mrembo sijui pisi kali kisa umeona hilo fuko la mavi? Click to expand... Na jamaa wa jezi ya Yanga kapita mbio hapo akitoka kupora uhai wa vijana.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,700 Reaction score 103,494 Nov 25, 2025 #7 Ana urembo gani?
Busu la Kenge JF-Expert Member Joined Jun 13, 2025 Posts 2,310 Reaction score 4,205 Nov 25, 2025 Thread starter #8 Keynez said: Mrembo sijui pisi kali kisa umeona hilo fuko la mavi? Click to expand... Hahahahahaaaaa bwamdogo acha vituko jamvini.
Keynez said: Mrembo sijui pisi kali kisa umeona hilo fuko la mavi? Click to expand... Hahahahahaaaaa bwamdogo acha vituko jamvini.
Nyanje JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 1,894 Reaction score 2,376 Nov 25, 2025 #9 Chifu Songea said: Na jamaa wa jezi ya Yanga kapita mbio hapo akitoka kupora uhai wa vijana. Click to expand... na wa makolo yupo
Chifu Songea said: Na jamaa wa jezi ya Yanga kapita mbio hapo akitoka kupora uhai wa vijana. Click to expand... na wa makolo yupo
Keynez JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 3,620 Reaction score 6,510 Nov 25, 2025 #10 Chifu Songea said: Na jamaa wa jezi ya Yanga kapita mbio hapo akitoka kupora uhai wa vijana. Click to expand... Anakimbia huku anasema "gusa achia twende kwao". Msemaji wao alituambia wiki kadhaa kabla kuwa safari hii wanapiga za kichwa tu (siyo kama zile za Lissu), wengi mkadhani anaongelea mamipira.
Chifu Songea said: Na jamaa wa jezi ya Yanga kapita mbio hapo akitoka kupora uhai wa vijana. Click to expand... Anakimbia huku anasema "gusa achia twende kwao". Msemaji wao alituambia wiki kadhaa kabla kuwa safari hii wanapiga za kichwa tu (siyo kama zile za Lissu), wengi mkadhani anaongelea mamipira.
Keynez JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 3,620 Reaction score 6,510 Nov 25, 2025 #11 Nyanje said: na wa makolo yupoView attachment 3507359 Click to expand... Wanavaa hayo majezi ili wajichanganye na raia
Nyanje said: na wa makolo yupoView attachment 3507359 Click to expand... Wanavaa hayo majezi ili wajichanganye na raia
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,924 Reaction score 11,305 Nov 25, 2025 #12 Hakuna mrembo hapo
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 20,490 Reaction score 41,157 Nov 25, 2025 #13 Nyanje said: na wa makolo yupoView attachment 3507359 Click to expand... Huyo jamaa kafuga nywere huku anashika siraha ya kuua..
Nyanje said: na wa makolo yupoView attachment 3507359 Click to expand... Huyo jamaa kafuga nywere huku anashika siraha ya kuua..
Nyanje JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 1,894 Reaction score 2,376 Nov 25, 2025 #14 Isanga family said: Huyo jamaa kafuga nywere huku anashika siraha ya kuua.. Click to expand... hayo ni majambazi yao ya kukodi yanahusika pia na matendo ya utekaji
Isanga family said: Huyo jamaa kafuga nywere huku anashika siraha ya kuua.. Click to expand... hayo ni majambazi yao ya kukodi yanahusika pia na matendo ya utekaji
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 20,490 Reaction score 41,157 Nov 25, 2025 #15 Nyanje said: hayo ni majambazi yao ya kukodi yanahusika pia na matendo ya utekaji Click to expand... Daah aisee kweli kabisa hakuna Rasta ambae anaweza kushika SMG na kuua watu hovyo..
Nyanje said: hayo ni majambazi yao ya kukodi yanahusika pia na matendo ya utekaji Click to expand... Daah aisee kweli kabisa hakuna Rasta ambae anaweza kushika SMG na kuua watu hovyo..
endesha JF-Expert Member Joined Dec 9, 2015 Posts 1,565 Reaction score 2,394 Nov 25, 2025 #16 Chifu Songea said: Na jamaa wa jezi ya Yanga kapita mbio hapo akitoka kupora uhai wa vijana. Click to expand... Huyo Jamaa nadhani ameua kama 3000 mwenyewe kwa anavyoonekana 🤔...
Chifu Songea said: Na jamaa wa jezi ya Yanga kapita mbio hapo akitoka kupora uhai wa vijana. Click to expand... Huyo Jamaa nadhani ameua kama 3000 mwenyewe kwa anavyoonekana 🤔...
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 5,468 Reaction score 11,991 Nov 25, 2025 #17 Chifu Songea said: Na jamaa wa jezi ya Yanga kapita mbio hapo akitoka kupora uhai wa vijana. Click to expand... Nna hasira na ilo senge lilovaa mshati wa yanga.
Chifu Songea said: Na jamaa wa jezi ya Yanga kapita mbio hapo akitoka kupora uhai wa vijana. Click to expand... Nna hasira na ilo senge lilovaa mshati wa yanga.
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 18,286 Reaction score 37,006 Nov 25, 2025 #18 Isanga family said: Daah aisee kweli kabisa hakuna Rasta ambae anaweza kushika SMG na kuua watu hovyo.. Click to expand... Rastafarian Huwa Hawa amini kwenye violence na ndio maana true rastafarian Huwa ni mtu amani na upendo Sijui huyo ni Rasta ganiii
Isanga family said: Daah aisee kweli kabisa hakuna Rasta ambae anaweza kushika SMG na kuua watu hovyo.. Click to expand... Rastafarian Huwa Hawa amini kwenye violence na ndio maana true rastafarian Huwa ni mtu amani na upendo Sijui huyo ni Rasta ganiii
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 6,498 Reaction score 18,159 Nov 25, 2025 #19 Nyanje said: na wa makolo yupoView attachment 3507359 Click to expand... Huyo rasta aliyeshika bunduki automatically sio hawa polisi wa kawaida ... Hawa ni lazima wawe akina bluetooeeth
Nyanje said: na wa makolo yupoView attachment 3507359 Click to expand... Huyo rasta aliyeshika bunduki automatically sio hawa polisi wa kawaida ... Hawa ni lazima wawe akina bluetooeeth
Kisima JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,437 Reaction score 5,438 Nov 25, 2025 #20 Isanga family said: Huyo jamaa kafuga nywere huku anashika siraha ya kuua.. Click to expand... Huyu ni task force ya mafwele. Kaua raia wengi sana zaidi ya miaka 10 amekua akihusishwa na mauaji nchi nzima. Kwenye kila oparation ya kuteka na kuua vijana humkosi.
Isanga family said: Huyo jamaa kafuga nywere huku anashika siraha ya kuua.. Click to expand... Huyu ni task force ya mafwele. Kaua raia wengi sana zaidi ya miaka 10 amekua akihusishwa na mauaji nchi nzima. Kwenye kila oparation ya kuteka na kuua vijana humkosi.