LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,317
Je kuna kitu tume fichwa?
Kiumbe huyu amenifanya nifikiri kwamba maandiko yanayo sema binadamu ali umbwa kwa sura na mfano wa Mungu yali potoshwa kwa sababu maalumu naukweli ni kwamba " binadamu ali " undwa" sio " umbwa " kwa taswira na mfano wa sokwe mtu"
USHAHIDI WA HOJA HII:
Ukiweka ulevi pembeni ni sahihi zaidi kusema binadamu anafanana na.sokwe kuliko kusema binadamu anafanana na Mungu.
Hata DNA ya sokwe ina match na DNA ya binadamu kwa asilimia tisini na nane.
Inawezekana kweli binadamu alikuwa genetically modified kwa ku manipulate apes DNA with some Alliens DNs.
Kiumbe huyu amenifanya ni tafakari kwamba andiko linalo patikana katika Kitabu cha Mwanzo 3:19 linalosema " kwa jasho lako utakula chakula hata utakapo irudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa , kwa maana u mavumbi wewe nawe mavumbi utarudi" lili potoshwa kwa sababu maalumu na kwamba lilipaswa kuwa " kwa jasho lako utakula chakula hata utakapo irudia hali unyani ambayo katika hiyo ulitwaliwa kwa maana u nyani wewe nawe katika unyani utarudi"
Yani mfano wa hilo andiko ni sawa wewe jamaa unaishi zako masaki halafu ukakutana na demu ambiance ukampenda malaya ukamtoa kwenye umalaya ukamuoa na kwenda kuishi nae masaki then baadae akakuzingua na wewe ukamwambia * nakurudisha huko ambiance nilipo kutoa kwa sababu wewe ni malaya na ambiance ndipo nilipo kutoa na ambiance ndipo utakapo rejea kwa sababu u malaya wewe"
Ni mifano inayo endana na hiyo
Wakuu nipo natafakari kitu kuhusu huyu kiumbe