Video games ambazo mpaka sasa nimeshacheza

Halafu yule ni kama Clinton?
 
GTA V vipi? Bado? Yaani saa zingine najiulizaga ninunue PS4 au nitafute PC moja ya Gaming ila nikiicheki game moja la magari linitwa Forza Horizon 4 napata wakati mgumu sana kuchagua kati ya PC, PS4 au Xbox One..
 
Nujua pc mkasi utaenjoy

Forza horizon ile game nomah..ndinga za kibabe mule ndani
GTA V vipi? Bado? Yaani saa zingine najiulizaga ninunue PS4 au nitafute PC moja ya Gaming ila nikiicheki game moja la magari linitwa Forza Horizon 4 napata wakati mgumu sana kuchagua kati ya PC, PS4 au Xbox One..
 
Niliangalia list yako vbaya skuona battlefiled,ikabidi niangalie upya..ndio nikaona zipo

We jamaa umetisha sana
 
GTA V vipi? Bado? Yaani saa zingine najiulizaga ninunue PS4 au nitafute PC moja ya Gaming ila nikiicheki game moja la magari linitwa Forza Horizon 4 napata wakati mgumu sana kuchagua kati ya PC, PS4 au Xbox One..
Pc iko poa sema iwe ya maana
 
Mkuu napenda sana games ila issue ni jinsi ya kuzipata kama vipi mkuu nisaidie kuzipata hata kwa hela
please assist
 
Pc iko poa sema iwe ya maana
Naona jamaa anaiuza PC moja amesema ni gaming PC ila Graphics imeandikwa ni Intel 520 HD ila Renderer ni Nvidia GTX 840m ina 2GB graphics sasa hapo nashindwa kuelewa kabisa maana hio Intel 520 naiona ndogo huku kwenye renderer ndo inanichanganya kabisa ila ni Core i5 Ram ni 12 GB
 
Mara nyingi kinachosukuma hasa magame ni graphic card ...ika kwa ushauri zaidi mfuate chief mkwawa atakusaidia kabla ya kununua
 
Nifundishe kucheza game ntalipa sh.ngap
 
Anakupiga changa la macho, Intel HD graphics wakisema ina 2GB hio ni shared memory na sio dedicated kwa lugha nyengine ukirun game hio ram yako ya 12GB gpu itachukua 2gb na utabakiwa na 10GB.

Na 840m ni gpu ya kawaida tu haina hata GDDR5 kama sijakosea. Itacheza games kwa low setting ila sidhani kama ina qualify kuitwa gaming laptop.

Mwisho wa siku itategemea na bei.

Gaming laptop entry inaanzia around dola 600 mpaka 700 kwa mpya ambayo unapata gpu kama gtx 1050ti na cpu yenye core 4 na thread 8 itakayohandle games za kisasa.
 
Huyu jamaa anauza 850,000 hii laptop ngoja niicheki niweke na picha za specifications maana mimi napenda niweze kuicheza GTA V na Forza Horizon 4
 
Chief Mkwawa...specifications za hio computer ni hizi hapa ziangalie kama zinaweza kusukuma hizo game za GTA V, Forza Horizon, Pes 2018 na Fifa 2019
 
Attachments

  • FB_IMG_1557922850824.jpg
    61.9 KB · Views: 25
  • FB_IMG_1557922348146.jpg
    104.9 KB · Views: 27
  • FB_IMG_1557922344993.jpg
    62.7 KB · Views: 27
  • FB_IMG_1557922358510.jpg
    58.8 KB · Views: 25
  • FB_IMG_1557922353290.jpg
    94 KB · Views: 32
  • FB_IMG_1557922823543.jpg
    47.8 KB · Views: 28
  • FB_IMG_1557922827755.jpg
    54.5 KB · Views: 25
  • FB_IMG_1557922839085.jpg
    94 KB · Views: 29
  • FB_IMG_1557922834193.jpg
    49 KB · Views: 24
Palipo nichanganya ni hapo penye Intel 520 na huku render inasoma GTX 940m
 
Huyu jamaa anauza 850,000 hii laptop ngoja niicheki niweke na picha za specifications maana mimi napenda niweze kuicheza GTA V na Forza Horizon 4
850k sio mbaya mkuu kwa machine hio, hasa kama itakuwa na extra features kama display ya full HD, ssd, etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…