video game | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

video game

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ureni, Jun 15, 2011.

 1. u

  ureni JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Jamani ni duka gani hapa bongo linalouza video game nataka nifungue hiyo biashara na thamani yake ni kiasi gani?Na package yake inakuja na vitu gani?
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu Research ni muhimu sana kabla ya kuanza biashara yoyote:-
  Je ni watu gani watanunua hizo games na kwa bei gani na ni wangapi wenye games?
  Je hao watu wenye Games Console huwa games zao wanazipata wapi na je unaweza ukacompete nao bei?
  Hizo Games utazipata wapi na kwa bei gani, na Je unaweza kuuza kwa faidi baada ya kuziingiza nchini na Je price haitakuwa kubwa sana?

  Baada ya kujibu hayo maswali hapo juu naona utapata jibu kuwa market sio kubwa sana kwa kuuza labda ufanye Games Library ambapo watu wanaazima games, cause itakuwa cheaper au uanzishe games cafe, ambapo unaweza consoles zako za kutosha na unacharge watu per hour kwa kucheza games, ukifanya cafe ikawa nzuri na ukaweka na viburudisha (drinks etc) nadhani faida itakuwa nzuri na utapata watu zaidi ya kuuza games peke yake
   
 3. u

  ureni JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Asante sana kwa ushahuri nafikiri game cafe kweli italipa,sasa console zenyewe kwa bongo wanauza wapi?Na bei zake zimekaaje?any idea?
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Console Bongo; am not sure PS2 huenda ikawa kwenye laki Nne; Nairobi kwenye laki mbili za Bongo lakini Two Years Ago UK Used PS2 ilikuwa pound 40 which is around elfu 80 za kibongo so if you know mtu nje England au States utapata cheaper cause PS2 imepitwa na wakati huko na watu wamemove on into PS3 so ukipata used itakuwa cheaper, kuhusu games nje utapata very cheap au unaweza uka-chip your PS2 ukatumia games za kuburn which works out any game very cheap lakini problem is ps3 games huwezi kucheza kwenye ps2
   
 5. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ps2 console brand new ni kama 250k na pad moja, ps3 ni kama 700k....kuna duka kkoo linaitwa musa electronics huwa wanauza cd za kukopi around 10k ni cheap ukilinganisha na original ambazo ni 50k+...miaka 2/3 ningekushauri ufanye kama biashara lkn kwa sasa watu wengi eithr wana ps nyumbani au wanatumia pc za nyumbani ile mibichwa kucheza game za pc...nunua kama unafeel kucheza lakini sio bness...jaribu kufanya kajiutafiti pia...
   
 6. u

  ureni JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Thanks ntawatembelea musa electronics k/koo.
   
Loading...