Unavotaka kutumiakama vifaa gani
Ngoja wajuzi waje mm nachokijua ni komputa yenye uwezosina na sijui nitumie vifaa gani kama unauelewa kidogo nisaidie kuanzia hvyo vifaa
Kwanza ili kujifunza ni lazima kwanza kuwa na Kompyuta Nzuri.natamani kujifunza video making and video editing msaada tafadhali kwa mwenye ufahamu wa mambo haya
Nna group langu nilikuwa nafundisha Video Editing and Graphics Designing Burr kabisa.natamani kujifunza video making and video editing msaada tafadhali kwa mwenye ufahamu wa mambo haya
group lipo application ganiNna group langu nilikuwa nafundisha Video Editing and Graphics Designing Burr kabisa.
But now Niko busy saana. Sipati muda was kufundisha.View attachment 1640744